New updates kutoka kwa wahusika
1.Wasio kuwa na vyeti vya jkt/jku wanawekwa kando
2.Wale ambao hawajafanya verification ya vyeti mahakamani(hakimu/mwanasheria) pia kando
3.Ambao wamegoma kuambatanisha medical report pamoja na nambari ya NIDA kama walivyoitaji wao,kando
Vitu ambavyo watarushiwa watu vitaulo ni
1.kutoweka passport size
2.kutoweka leaving certificates
Nimeambiwa kunaeatu badala ya kuandika barua kwa mkono wao wametype ao nao wanaliwa vichwa
Tarehe rasmi ya kutoa majibu haijulikani mpaka sasa,so kama unamishe zako we kufanya