Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Wanaweza kama polisi wataamua wawachukue tu ila wakikaza imekula kwaoApo Sababu ya jakata wanaweza toboa ila wa sayansi nadhani watabebeka sana
Inategemea unatumia scan gan...mm vyeti vyangu vyote nimescan kwa simu na hilo neno halipo Bob...very clear with a good quality.Ku scan kwa simu sikushauri[emoji16].
Bora utoe jero stationary tu.
Yaani!! Pdf yako kwa pale chini kale kaneno 'Camscner" sio kweli mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
App gani hiyo mkuu unayotumia?Inategemea unatumia scan gan...mm vyeti vyangu vyote nimescan kwa simu na hilo neno halipo Bob...very clear with a good quality.
Clear scanner
Sio scanner zote ni CAM SCANNERKu scan kwa simu sikushauri[emoji16].
Bora utoe jero stationary tu.
Yaani!! Pdf yako kwa pale chini kale kaneno 'Camscner" sio kweli mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio wataitwa kwenye usaili ?Polisi mkoa wa wanya moon(elewa kodi) tetesi zinasema bado wanafanya mchakato, ila ni wiki hizi za usoni hasa wik ijayo.
@Lugano5,Sio scanner zote ni CAM SCANNER
Watu wametia unaa wa kutosha 😂Huu ubishi wa ku certify vyeti kwa maombi ya ajira za polisi sijui unatoka wapi
kuhusu ku certify cheti kwa polisi we form 4 ambaye vyeti havija kuwa certify unatuma vizuri tu kama wanaitaji vilivyo certify wangekwambia Kama uhamiaji walivyosema kwenye tangazo
Hivi haya matangazo huwaga mnayasoma vizuri ?
lakini haimaanishi kwamba ukituma kilicho certify wanakataza hapana pia ni sawa kama ume certify tuma fanya unaa kabisa[emoji16]
Tena wengi ambao vyeti vyao vimekuwa certify ni hawa watu wa shahada astashahada wengi wana account ajira portal . vyeti walivyo upload huko lazima viwe certify hivyo basi wengi wametumia copy zake kwenye maombi ya upolisi kama waliamua lakini sio lazima .
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tumeumaliza mwendo😢😢😢New updates kutoka kwa wahusika
1.Wasio kuwa na vyeti vya jkt/jku wanawekwa kando
2.Wale ambao hawajafanya verification ya vyeti mahakamani(hakimu/mwanasheria) pia kando
3.Ambao wamegoma kuambatanisha medical report pamoja na nambari ya NIDA kama walivyoitaji wao,kando
Vitu ambavyo watarushiwa watu vitaulo ni
1.kutoweka passport size
2.kutoweka leaving certificates
Nimeambiwa kunaeatu badala ya kuandika barua kwa mkono wao wametype ao nao wanaliwa vichwa
Tarehe rasmi ya kutoa majibu haijulikani mpaka sasa,so kama unamishe zako we kufanya
Mkuu Pdf huwa linafatana na tarehe ya usailiNdio wataitwa kwenye usaili ?
Wanya mwezi sio [emoji16] tabora Code za nini mzee na hizi id fake embu mwageni mchele
[emoji16][emoji16]unaa ni muhimu sana kwenye majeshi sema usizidi sanaaa maana unaweza fanya wengine wanaonekane hawapo seriousWatu wametia unaa wa kutosha [emoji23]
Hiyo Tabora umesema wewe mkuu😆😆Ndio wataitwa kwenye usaili ?
Wanya mwezi sio [emoji16] tabora Code za nini mzee na hizi id fake embu mwageni mchele
Si wadau huko juu wamesema polisi usaili baadhi ya mikoa unaendelea kwa wale form 4 pdf ya nini tenaMkuu Pdf huwa linafatana na tarehe ya usaili
Embu acheni hizi habari za code wadau[emoji16] hatuongelii humu sensitive information ambazo zitahatarisha usalama wa nchi ni usaili tu jameni [emoji16]Hiyo Tabora umesema wewe mkuu[emoji38][emoji38]
Nimesema mkoa wa wanya moon, Mboka[emoji2]
Watu hawaspecify mikoa ipi , hiyo namaanisha watakao itwa kwa walioombea mikoani mkuu, sijajua itakuwa ni simu au ni majina yanawekwa kwenye mbaoSi wadau huko juu wamesema polisi usaili baadhi ya mikoa unaendelea kwa wale form 4 pdf ya nini tena
Au unazungumzia wenye fani ?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuna mmoja nakumbuka post za huko juu alitaja mkoa wa mbeya saili zinaendelea za polisiWatu hawaspecify mikoa ipi , hiyo namaanisha watakao itwa kwa walioombea mikoani mkuu, sijajua itakuwa ni simu au ni majina yanawekwa kwenye mbao
Utakujaga kwenda chaka wewe unajua maana ya nakala???PT hawajasema tu certify pia isitoshe ilikuwa ni online kwaiyo unawewka soft copy ya original siyo karatasi za copy ya cheti always maombi ya online yapo hivyo ila za kupeleka posta hzi kuandika ni vizuri maombi ya mtu iwe serikal au private uka certify vyeti vyako , kingine kwnye majeshi medical form ni muhimu Sana wanasemaga muombaji awe na afya njema iloyothibitishwa na daktari ni vyema ukaweka.