Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Huu ubishi wa ku certify vyeti kwa maombi ya ajira za polisi sijui unatoka wapi

kuhusu ku certify cheti kwa polisi we form 4 ambaye vyeti havija kuwa certify unatuma vizuri tu kama wanaitaji vilivyo certify wangekwambia Kama uhamiaji walivyosema kwenye tangazo

Hivi haya matangazo huwaga mnayasoma vizuri ?

lakini haimaanishi kwamba ukituma kilicho certify wanakataza hapana pia ni sawa kama ume certify tuma fanya unaa kabisa[emoji16]

Tena wengi ambao vyeti vyao vimekuwa certify ni hawa watu wa shahada astashahada wengi wana account ajira portal . vyeti walivyo upload huko lazima viwe certify hivyo basi wengi wametumia copy zake kwenye maombi ya upolisi kama waliamua lakini sio lazima .

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Watu wametia unaa wa kutosha 😂
 
New updates kutoka kwa wahusika
1.Wasio kuwa na vyeti vya jkt/jku wanawekwa kando
2.Wale ambao hawajafanya verification ya vyeti mahakamani(hakimu/mwanasheria) pia kando

3.Ambao wamegoma kuambatanisha medical report pamoja na nambari ya NIDA kama walivyoitaji wao,kando

Vitu ambavyo watarushiwa watu vitaulo ni
1.kutoweka passport size
2.kutoweka leaving certificates

Nimeambiwa kunaeatu badala ya kuandika barua kwa mkono wao wametype ao nao wanaliwa vichwa

Tarehe rasmi ya kutoa majibu haijulikani mpaka sasa,so kama unamishe zako we kufanya
Tumeumaliza mwendo😢😢😢
 
Si wadau huko juu wamesema polisi usaili baadhi ya mikoa unaendelea kwa wale form 4 pdf ya nini tena

Au unazungumzia wenye fani ?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Watu hawaspecify mikoa ipi , hiyo namaanisha watakao itwa kwa walioombea mikoani mkuu, sijajua itakuwa ni simu au ni majina yanawekwa kwenye mbao
 
Watu hawaspecify mikoa ipi , hiyo namaanisha watakao itwa kwa walioombea mikoani mkuu, sijajua itakuwa ni simu au ni majina yanawekwa kwenye mbao
Kuna mmoja nakumbuka post za huko juu alitaja mkoa wa mbeya saili zinaendelea za polisi

Hakusema kama walipigiwa simu au mbao za tangazo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
PT hawajasema tu certify pia isitoshe ilikuwa ni online kwaiyo unawewka soft copy ya original siyo karatasi za copy ya cheti always maombi ya online yapo hivyo ila za kupeleka posta hzi kuandika ni vizuri maombi ya mtu iwe serikal au private uka certify vyeti vyako , kingine kwnye majeshi medical form ni muhimu Sana wanasemaga muombaji awe na afya njema iloyothibitishwa na daktari ni vyema ukaweka.
Utakujaga kwenda chaka wewe unajua maana ya nakala???
 
Back
Top Bottom