Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Hizo ni nyimbo ambazo nikiimba kwa hisia chozi naona linanilengalenga au kudondoka kabisa.Umenikumbusha machanger...
Mimi nilikuwa napenda ile "Shuu shuu shumbweeela mama shuu shuu shumbweeela
Hahahahah jaribu kufanya hivyoHivi ukijipeleka tu CCP mwenyewe hawewezi kukuonea huruma
Mhhh unadondokaje sasaHizo ni nyimbo ambazo nikiimba kwa hisia chozi naona linanilengalenga au kudondoka kabisa.
Muhimu watu wanatusua hivi mtu anasaka nafasi anamjua mkuu anaenda kwake atafyeka nyasi home,kuosha magari mzee akija ana mpokea vitu au kumfungulia mkanda mke ana vutiwa kusema baba naniu kijana una msaidiajeKwenye competition yoyote ya kazi sometimes those who shows something "extra" au huo unaouita unaa katika kitu flan basi hupata nafasi kiurahisi kwani ndio huonekana wana uhitaji zaidi na wako serious zaidi...kumbuka ni competition so kama mtu anaonesha unaa muache anapigania maisha yake ndio maana kaamua kuuweka huo unaa.
Nakumbuka mwaka jana msela mmoja alipita usaili wa mkoani intake iliyopita kwa kuwa smart tu. Yan akapiga low hair cut kama ya polisi, shave ndevu zote...suruali ya kitambaa kanyoosha panga safi kinaa kachomekea, kiatu chini kang'arisha kinaa kama polisi ukijiangalia unajiona. Basi RPC alivyomuona tu akamwambia moja kwa moja wewe nenda tu nyumbani umeshapita kwa kuwa alikuw smart kati ya vijana 300+ alikuwa kati ya 30 waliochukuliwa mkoa ule.Na sasa kabaki kama mkufunzi CCP. So wakati mwingine unaa wenye faida ni muhimu. Kazi ni struggle.
ukicheki msoto wa kitaa ulivo. vigezo vyote vya uhamiaji niliambatanishaUhamiaji wana mambo mengi sana maombi yao vyeti viwe certified, leavings plus hizo picha passport,medical form.
Mtaala wa kvp tupe lonja mkuuOya kuruta wa Pt mjipange nakumbuka mwaka jana walisema watafanya maboresho ya mtaala.
Same to me nimembakishia mungu afanye maajabu yake yatakayonipa furahaukicheki msoto wa kitaa ulivo. vigezo vyote vya uhamiaji niliambatanisha
Ningekuwa mkazi wa hapo Moshi walai ningejilipua[emoji1787][emoji1787][emoji1787] uje ujipeleke tu, huenda ulipangiwa utoboe kwa namna hiyo
Haha .. sasa sisi wengine tunataka kulitumikia taifa Ila namna tunakosa tufanyeje sasaUtapigwa doso Kar alaf utaambiwa urud om[emoji3][emoji3]
Achana na hizo kaz fanya nyingineHivi ukijipeleka tu CCP mwenyewe hawewezi kukuonea huruma
Sema ata wao watacheka sana ππHahahahah jaribu kufanya hivyo
jah bless usSame to me nimembakishia mungu afanye maajabu yake yatakayonipa furaha
Toka lin jf mnamapenz na jeshi la polisii ππ hizi njaa zitatuu uaHaha .. sasa sisi wengine tunataka kulitumikia taifa Ila namna tunakosa tufanyeje sasa
Sina namna kaka , kazi mtaani hakunaAchana na hizo kaz fanya nyingine
Mkuu maombi si ulituma na. Vigezo vyote unavyo??Sina namna kaka , kazi mtaani hakuna
Nina wasiwasi na leaving certificate kaka, sikuweka ya form 4. Pia ya 6 ni provisional tu nimetengenezewa na mkuu wa shuleMkuu maombi si ulituma na. Vigezo vyote unavyo??
Bado tunaendelea kutafuta weng wa kurud nyumban ili tuwaweke member weng wa jf kama rickboy na Liverpool VPNWale watu wa Mafinga, wanaendelea vipi huko msata na vipimo??
Uhamiaji au had polisNina wasiwasi na leaving certificate kaka, sikuweka ya form 4. Pia ya 6 ni provisional tu nimetengenezewa na mkuu wa shule