Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Pccb /takukuru mwaka jana call for work ilitoka kwa pdf kabisa ,nasio kwamba notifications zilikua kwa emails tu. kuhusu upendeleo nikweli wengi tulipigika ,pepa ilikua ngumu mno (aptitude test)
Screenshot_20230105-161007.png

Mi nachukiaga mtu anaongea kitu alafu hakijui... Mimi nilifanya usaili mpaka wa mwisho na hili ndo lilikua Tangazo la kuita watu kazini waliofaulu, hapakua na majina yaliyotolewa
 
Back
Top Bottom