Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nae usijipe umuhimu kwenye mambo ya wengineKwamba walioko hapa wanalilia ajira ni vilaza!
Tuwe makini na maneno tunayotumia.
It's just a polite reminder.
mtoto wa kiume unachekacheka ovyoWewe ni andwanga [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaogopa kukata km ukiwa na moka??Samahani naomba kuuliza kwani pia siku ya interview,kuna kuwaga na mabio
pumzi kisoda mkuu,ndo maana tunauliza mapema[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaogopa kukata km ukiwa na moka??
Waambie vijana waache hasira za hvyo....hv hawa wakimaliza kozi si watatandika vibao raia maana raia wanakera sana huku mtaaaniAiseee.... Hamjaiva bado!!! Mnatupiana maneno tena;!!
Asee hii taarifa sijaipata bado...huyo mwamba kapelekwa wapi aseeKuna mkeka nimeuona kupitia kwa mdogo wangu ni PT kuna mabadiriko ya Makamanda,mtakaofanikiwa kuingia PT mtamkosa mkufunzi mmoja anaitwa Mwangosi nasikia ni mwamba sana amehamishwa Shule ya Polisi.
Mkuu anza kula tizi huwezi jua unaweza pita kwenye hatua zote ukaingia chomboni upepo ukakata siku ya intro tu.pumzi kisoda mkuu,ndo maana tunauliza mapema
Mhhhhhh ulifanya kozi magereza ukafanya kozi jwtz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magereza wana mafunzo magumu kuliko hata hao JW kwenye ukakamavu..sema tu uraiani watu ambao hawajui wanaonaga JW ndio kila kitu na wana matizi magumu
Kaa na watuMhhhhhh ulifanya kozi magereza ukafanya kozi jwtz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23]Mhhhhhh ulifanya kozi magereza ukafanya kozi jwtz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio walikwambia kozi ya magereza ngumu kuliko kozi ya TPDF??Kaa na watu
Jifunze mambo
Soma vitabu sana
Sikiliza watu
Utajua mambo mengi chief
Kapelekwa Tanga kuwa OCAsee hii taarifa sijaipata bado...huyo mwamba kapelekwa wapi asee
Kitu nilichojifunza baada ya kukaa na wote, ni kuwa... Kila mtu anavutia kwake!! Nenda kapige kozi ndio uje na hitimisho lako!!! Usipokuwa makini hata mgambo atakuambia kozi yake ni ngumu haijapata kutokea!!Kaa na watu
Jifunze mambo
Soma vitabu sana
Sikiliza watu
Utajua mambo mengi chief
😂😂😂 huyo polisi Tz nzima wanamjua .Polisi wengi sana wamepita chini yake. Pale CCP ndio alikuw mkuu wa Nidhamu na Mkuu wa mafunzo porini. Katoa askari wengi sana ila ndio hivyo umri unaenda kamanda sana yule.Kapelekwa Tanga kuwa OC
..
Alipofika tuu kauli yake ya kwanza ni kuwa, "Yaani oc mpya nimekuja nakuta mmenenepa" kisha kawapiga ruti watu!![emoji23] Jana walikuwa wanang'ong'a tuu!!!
Na watang'ong' a sana dah ....sema inahitaj wapate mwenye roho ngumu mwingine wa kumreplace kule...maana mafunzo ya pori kule na nidhamu bila kukaza hutoi askari bora.Kapelekwa Tanga kuwa OC
..
Alipofika tuu kauli yake ya kwanza ni kuwa, "Yaani oc mpya nimekuja nakuta mmenenepa" kisha kawapiga ruti watu!![emoji23] Jana walikuwa wanang'ong'a tuu!!!
Upo sahihi kabisa chiefKitu nilichojifunza baada ya kukaa na wote, ni kuwa... Kila mtu anavutia kwake!! Nenda kapige kozi ndio uje na hitimisho lako!!! Usipokuwa makini hata mgambo atakuambia kozi yake ni ngumu haijapata kutokea!!
Daah.. kwa hiyo ikitokea tumebahatika kwenda huko tunamkosa kamanda!!!Na watang'ong' a sana dah ....sema inahitaj wapate mwenye roho ngumu mwingine wa kumreplace kule...maana mafunzo ya pori kule na nidhamu bila kukaza hutoi askari bora.
Nimesikia story zake huyu kamanda...yani kwa nidhamu alikuw hakwepeshi..hata kama ni afande wa pale...adhabu anakupaDaah.. kwa hiyo ikitokea tumebahatika kwenda huko tunamkosa kamanda!!!