Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Document 6_1.jpg

Vijana mnataka mkale viyoyozi huku
 
Maslahi muhimu mkuu...scale za mambo ya ndani ni zile zile tu. Kwenye majeshi scale kubwa utazipata JW tu kaka
Hizo scale wakae nazo sizihitaji mimi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,mi napenda mazingira ya kazi ya kitengo cha uhamiaji na jinsi kitengo kinavyo fit personality yangu ,kuna kazi inaweza kuwa ngumu kama personal character yako na kazi husika viko opposite .
Mungu asaidie tu pdf ya usahili niwemo
 
Tuombe Mungu kaka. Atatusaidia.
 
Mkuu anza kula tizi huwezi jua unaweza pita kwenye hatua zote ukaingia chomboni upepo ukakata siku ya intro tu.
kwani intro si inakuwaga baada ya muda Fulani ,huo muda ambao tutaachiwa kabla ya intro nitakula tizi hata jkt nilifanya HV hv,yaani pumzi ilikuwa kisoda Ila baada ya mda niliadapt nikawa hatari Kama mtu wa marathon
 
Back
Top Bottom