Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

kwani intro si inakuwaga baada ya muda Fulani ,huo muda ambao tutaachiwa kabla ya intro nitakula tizi hata jkt nilifanya HV hv,yaani pumzi ilikuwa kisoda Ila baada ya mda niliadapt nikawa hatari Kama mtu wa marathon
shida inakuja muda utapata maana kwa JKT nakumbuka ilikuwa muda mwingi mnakuwa mmekusanywa unakosa kuwa huru kukimbiakimbia, so nakushauri ni bora ukaanza sasa.
 
Wadau kama mnapiga tizi pigeni kwa ajili ya afya yenu yani faida yenu .. ukisema unapiga kwa ajili ya kozi mpdf ukitoka jina lisipokuwepo sidhani kama utakimbia tena [emoji3]


Ukipiga kwa ajili ya manufaa yako hata ukikosa bado umejiekea Kau taratibu unaendelea

Japo hatuombi iwe hivyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hizo scale wakae nazo sizihitaji mimi ,mi napenda mazingira ya kazi ya kitengo cha uhamiaji na jinsi kitengo kinavyo fit personality yangu ,kuna kazi inaweza kuwa ngumu kama personal character yako na kazi husika viko opposite .

Pccb Mimi siombi,kwa mieleka ya mwaka jana,Sina ham sikuomba Ila nilikuwa najionea tu
Vipi ?walikupa za uso nini ?
 
Back
Top Bottom