methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Oooh hooo mshaanza kutamani sare tena hahahaha jamaa wa ikulu uko wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mzee kwel mnaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kapelekwa Tanga kuwa OC
..
Alipofika tuu kauli yake ya kwanza ni kuwa, "Yaani oc mpya nimekuja nakuta mmenenepa" kisha kawapiga ruti watu!![emoji23] Jana walikuwa wanang'ong'a tuu!!!
😂😂😂😂 eeh muhimu kaka...tena ukimodoa flah hivOooh hooo mshaanza kutamani sare tena hahahaha jamaa wa ikulu uko wapi
Kaki ya polisi ikiwa na nakshi nakshi ndio inakuwa nzuriKabisa...kaki ya PT siikubali ila ile jungle green kali
Zile za maofisa kama kaunda suti ndio angalau zinapendeza tofauti za zile za kuchomekeaKaki ya polisi ikiwa na nakshi nakshi ndio inakuwa nzuri
Hawajaita kitu Gani ??Magereza vip hawajaita bado
Hapa kwanza ncheke🤣🤣🤣Hawajaita kitu Gani ??
Hamna upatanisho wa kisarufiHapa kwanza ncheke[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hata najua sasaHamna upatanisho wa kisarufi
Ndio kama una vigezo kwa form 4 omba tu. Utaupdate huko mbeleniKwani wakuu si Kuna ku update vyeti baadae huko chomboni .. nisije nikajira
Umenipa moyo sana mkuu!!! Ila tatizl umri dahMimi na degree yangu napita na hizi za magereza bila kujali
Wa degree hapo hawaitajiki au imekaaje?Ndio kama una vigezo kwa form 4 omba tu. Utaupdate huko mbeleni
Okay, basi napita na hiiNdio kama una vigezo kwa form 4 omba tu. Utaupdate huko mbeleni
Jaribu mtu wangu jaribu hupungukuwi chochote
Boss tunaenda na magereza au tunasubir lil3 jambo letu kwanza 😂Hata najua sasa
Hata MT sio pabaya tunazama tu chiefMpaka process zote za usaili zikamilike, walioko kambini wagraduate basi course itegemewe kuanzia mwezi wa 4 na kuendelea. Ikitokea umekosa majeshi mengine inabdi uinvest huko MT