Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Hahaha mkuu wa kazi naona unataka kutathmini kidogo maslahi.MLEVi Mmoja magereza wa 4m 4 anachukua ngapi kwa mwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mkuu wa kazi naona unataka kutathmini kidogo maslahi.MLEVi Mmoja magereza wa 4m 4 anachukua ngapi kwa mwezi
Tunasubiri jambo lileee wengine agegooo[emoji28]Boss tunaenda na magereza au tunasubir lil3 jambo letu kwanza [emoji23]
Hahahah sawaTunasubiri jambo lileee wengine agegooo[emoji28]
Mwaka huu ulikuwa mbanga ya huko ikazidiwa ninInch za urefu zinaniponza kudadeq..........[emoji38][emoji38][emoji38]
Mwaka huu narudi Tena kujitolea .....labda kambini nitakapa mbanga ya usalama wa T
Basi jiandaeni kupita. Na nasikia course itakuw haina maovyoovyo mengi Mwamba kapelekwa kuwa mkuu wa FFU TangaPolisi watachukuliwa watu 3000
SureView attachment 2471167
Sema nini wadau hii uniform kali 😂😂😂
Eeeh kaka maana nasikia mzigo mdogo afu kazi kubwaHahaha mkuu wa kazi naona unataka kutathmini kidogo maslahi.
Na sijajua kama kuna vimkopo vy kujenga jenga maana naona wengi kambiniHahaha mkuu wa kazi naona unataka kutathmini kidogo maslahi.
Zile ni combat na hizo ni suitKali mno ile ya kijani ndio mbaya
Nakuelewa mwamba...tusichoshane kazi kuenjoyHizo scale wakae nazo sizihitaji mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],mi napenda mazingira ya kazi ya kitengo cha uhamiaji na jinsi kitengo kinavyo fit personality yangu ,kuna kazi inaweza kuwa ngumu kama personal character yako na kazi husika viko opposite .
Mungu asaidie tu pdf ya usahili niwemo
Kiukweli Mungu anijalie niwepo..hata uconstable tuView attachment 2471167
Sema nini wadau hii uniform kali [emoji23][emoji23][emoji23]
Bado sana may next weekHivi PT makao makuu,lonja ya usahili lini wakuu
Hahahah tunamkaribisha Tanga SanaBasi jiandaeni kupita. Na nasikia course itakuw haina maovyoovyo mengi Mwamba kapelekwa kuwa mkuu wa FFU Tanga