Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hizo scale wakae nazo sizihitaji mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],mi napenda mazingira ya kazi ya kitengo cha uhamiaji na jinsi kitengo kinavyo fit personality yangu ,kuna kazi inaweza kuwa ngumu kama personal character yako na kazi husika viko opposite .
Mungu asaidie tu pdf ya usahili niwemo
Nakuelewa mwamba...tusichoshane kazi kuenjoy
 
Back
Top Bottom