SaulGoodman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 418
- 906
Zipo app nyingi tu za ku scan kwa cm ambazo haziweki logo zake kama "CamScanner"Ku scan kwa simu sikushauri[emoji16].
Bora utoe jero stationary tu.
Yaani!! Pdf yako kwa pale chini kale kaneno 'Camscner" sio kweli mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha waombe hawana Cha kupotezaHawakuitajika na wala hawakuorodheshwa kabisa watu hawasomagi matangazo siku hizi wanakariri
Wanajua degree na diploma na form 4 akitajwa basi automatically form six anakuwepo swali je barua ya maombi imetaka hivyo?
Vitu vidogo kama hivyo vinawaponza
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Acha janjajanja wewe, unataka Ajira tu[emoji445]Naapa naahidi mbele ya Mungu Tanzania nitakulinda mpaka kufa,
Tanzania ningali mtoto mdogo nimepewa jukumu la kukulinda wewe..Naapa naahidi mbele za Mungu Tanzania nitakulinda mpaka kufa[emoji445]
Kazi ipoHapo hata kwa kuhisi tu ni kwamba mafunzo yatakwaza sana ili watoe askari kweli kweli.
Wapi nimesema hakuna haha ya kuwa certified??? acha kukurupuka baada ya kuweka bandoIvi wewe una account Ajira Portal?? Nani kakudanganya online applications vyeti having haja ya kua certified???
Hiyo ni nyimbo mjomba au hukupitia jakataAcha janjajanja wewe, unataka Ajira tu
Chozi Mzee nakumbuka tuliimba Jkt after kuapa asee inavibe sana kwa moyoMhhh unadondokaje sasa
Sawa mkuu nimekupataChozi Mzee nakumbuka tuliimba Jkt after kuapa asee inavibe sana kwa moyo
Pccb /takukuru mwaka jana call for work ilitoka kwa pdf kabisa ,nasio kwamba notifications zilikua kwa emails tu. kuhusu upendeleo nikweli wengi tulipigika ,pepa ilikua ngumu mno (aptitude test)
Una ubongo wa kuku cjui, ivi unaweza kuweka copy ya original certificate ambayo imekua certified?Wapi nimesema hakuna haha ya kuwa certified??? acha kukurupuka baada ya kuweka bando
nimejibu luteni
Bonge la chenjaaa[emoji445]Naapa naahidi mbele ya Mungu Tanzania nitakulinda mpaka kufa,
Tanzania ningali mtoto mdogo nimepewa jukumu la kukulinda wewe..Naapa naahidi mbele za Mungu Tanzania nitakulinda mpaka kufa[emoji445]
h hongera kwakeeeMwanangu kunguru wa Manzese alipata Magereza Tanzania.
Anasubiri aape tu ale tengo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi wa tatu mwamba anaapaahaha
h hongera kwakeee
si ndio wameanza jana vipimoWale watu wa Mafinga, wanaendelea vipi huko msata na vipimo??