Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wanasiasa ndo wanataka makamanda wa ivo sasa ili wawapelekeshe we unadhani ukiwa na akili timamu na mtenda haki utatoboa?
 
Wakuu hapa kwenye utaratibu wa kutuma sijaelewa yaan tuandike barua kwa mguu wa gereza wa wilaya husika....na hapo wanasema barua zote zitume kwa posta tena
Anamaanisha

barua tuma posta lakini anuani iwe ya gereza la wilaya ya sehemu uliyopo maana ndio barua yako inapoenda


Elfu mbili tu hapo haya changamka

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…