Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
PoaHukuangalia vizuri mkuu ..waliwekwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoaHukuangalia vizuri mkuu ..waliwekwa
Hahahaha leta lonja sasaSevusimani tulia acha mteru. Tafuta mbanga.
Sijaisikia hii mkuu,ebu ilete kama habariMagereza wametoa ,Nafasi lkn maliasili kimya zile nafasi 6000 bungeni kimya hadi Leo kwenda kupambana na tembo ukanda wa kusini kwa hifadhi za kusini
Wanasiasa ndo wanataka makamanda wa ivo sasa ili wawapelekeshe we unadhani ukiwa na akili timamu na mtenda haki utatoboa?Na wengi ni viazi haswa na ndio hao wamepandishwa mpaka kuwa ma ACP na ma RPC lakini ni zero brain hata common sense Hamna ,ndio hayo mambo ya ajabu sasa ambayo mliyashuhudia kwenye zile kesi za akina Mbowe ,mambo ya PGO, polisi inspector na RPC wanaulizwa nini maana ya PGO na kuelezea kuihusu ,hawajui kitu ,na kuna mengi ya ovyo kwenye jeshi la polisi , transfomation kubwa inabidi kufanywa na ndio maana jeshi limeendelea kudhalilika .kuna moja juzi kule Tarime ,mtu kakutwa kauawa halafu mwili umefungwa kwenye Kiroba au gunia ,sasa eti ACP anasimama na kutoa maelezo kwa vyombo vya habari bila aibu eti marehemu amekufa kwa kunywa pombe na akaenda kwenye gunia na kujifunika ,what a nonsensical thing to say .
Hii inakupa reflection ya level ya mediocrity na incompetence katika jeshi la polisi ,
Ina maana hapo forensic investigation imefanyika halafu ndio wakatoka na hayo majibu au ni huyo ACP karopoka kama mlevi ,hii inakupa mashaka sana na maswali mengi kuhusu jeshi la polisi
Heheeeee ,anakupa presha afisa uhamiaji mtarajiwa 🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈🙈🙈🙈kitaaa sio poaa
UT mkuu?Navojua kwa sasa Pdf imejaa,bdo kuachiwa tu
Waachie mkeka huoNavojua kwa sasa Pdf imejaa,bdo kuachiwa tu
Na sijajua kama kuna vimkopo vy kujenga jenga maana naona wengi kambini
Na sijajua kama kuna vimkopo vy kujenga jenga maana naona wengi kambini
Hahahaha sawa mkuu ila kuna ujumbe wako umeona dmMKopo unakosekanaje chief..kukopa ni lazma ili tujenge chief
Daah chief tupunguze makisio ambayo hayawezi kutokea..hii kitu haiwezekan kabisaWalioomba PT ndio wameomba UT Pia so ,wanaweza kuangalia majina yaliyojitokeza Mara mbili kama umepita sehm moja nyingne unakatwa na idadi ndogo walioomba upnde mmoja hao wanaweza kuwa n nafasi kubwa ya kupita
Watu ndio wanaingia chomboni hivyo, afu utamu wa TPDF ni kwamba hamna mambo mengi, ni nguvu zako na kupambana na mistimu(magogo).I can confirm kwamba TPDF watu wanareport msata kimya kimya
Mkuu mpaka leo bado tu mtipidiiI can confirm kwamba TPDF watu wanareport msata kimya kimya
AnamaanishaWakuu hapa kwenye utaratibu wa kutuma sijaelewa yaan tuandike barua kwa mguu wa gereza wa wilaya husika....na hapo wanasema barua zote zitume kwa posta tena
Hivi kamanda level ya Kanali anaweza kusaidia ?Jioni ntingishe mbanga nisikie utasemaje