spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Uhakika hio majeshi yanaongeza askari kuendana na population yetu inavokua inshort mpaka mama atoke madarakan tunaweza tukafika hata robo ya army kwa TPDFHivi kuna possibility ya mh rais kutoa ajira nyengine za polisi 2024 na Uhamiaji au mambo ya ndani kiujumla wanawez kuja ten 2024
Haijawahi kuwa raisi utoke kitaa uingie jw labda uwe na mbuyu mkubwaKwa hiyo sisi raia wakitaa ndio JWTZ wametususa au sio ?
Kaka umenitolea tu njee ila upo jikonime sipo kwenye chombo mze kama wengine tuu humu
hata mm mtafutaj but nipo tuu karib ma watu fulan ndo mana nkipata ronja natoa wadau wazipateKaka umenitolea tu njee ila upo jikoni
Safi mkuu kesho nawaza sijui nitimbe ngome nikamvae officer yyte mwenye mkasihata mm mtafutaj but nipo tuu karib ma watu fulan ndo mana nkipata ronja natoa wadau wazipate
Hivi kanali mkisi yukogo wapi ,Siku hizi nakumbuka aliteuliwa uDc kipindi flani kigoma ,tupe mkasa pia wa nn kilimtokea hko kigomaSijui kwa kweli labda ndio maana SASHA Alikataa wasivae gwanda tena
Umefanya nimkumbuke MKISI waha walimuonyesha kazi haswa
pamoja afsaRank mkuu inategemea na elimu yake na for how long yupo huko sio kwamba kuna fixed rank kwa anyone ambaye atkuw kwenye hilo tengo
[emoji23] [emoji23]Safi mkuu kesho nawaza sijui nitimbe ngome nikamvae officer yyte mwenye mkasi
Dah!! Kweliiiii sio poa aisee..!!Nimemcheki classmate luteni yuko Airwings ,kadai taarifa hzi hana. ila bdo kama itakuepo inahitaji mbuyu mnene ukutoe uraiani kwenda msata
Majina ya nini?Majina nasikia yametoka tuanze kufwatilia
Ukiweza fanya hivyo bobSafi mkuu kesho nawaza sijui nitimbe ngome nikamvae officer yyte mwenye mkasi
hyu wa majina sijui huwa anaota. ni bora kama hana lonja anyamaze tuMajina ya nini?
Kaka unazembea tu mwenywe ...kaza uzame JWKumuomba Mungu afungue milango na kutafuta mibanga isikaze yani dah acha tu...JW n UT ndio napataman sio poa na
Taarifa ipo nusu nusu mkuu!! Majina ya nini??Majina nasikia yametoka tuanze kufwatilia
Nimemcheki classmate luteni yuko Airwings ,kadai taarifa hzi hana. ila bdo kama itakuepo inahitaji mbuyu mnene ukutoe uraiani kwenda msata
Chief sisi watu wa kawaida tu ndio tunateseka ..vijana wenye watu washashika vitengo muda sana sasa hv wanapambana na maisha tu