Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kama mtu hujui kitu si ukae kimya, kwann unajichoresha alafu hujui
1. General (Mkasi + Bibi na Bwana + [emoji294][emoji294][emoji294][emoji294])
2. Luten General (Mkasi + Bibi na Bwana + [emoji294][emoji294][emoji294])
3. Major General (Mkasi + Bibi na Bwana + [emoji294][emoji294])
4. Brigadier General (Mkasi + Bibi na Bwana + [emoji294])
5. Kanali (Bibi na Bwana + [emoji294][emoji294])
6. Luten Kanali (Bibi na Bwana + [emoji294])
7. Major (Bibi na Bwana)
8. Captain ([emoji294][emoji294][emoji294])
9. Luten ([emoji294][emoji294])
10. Luten Usu ([emoji294])

Hivyo ndio vyeo vya maafisa wakubwa wa JWTZ. watu wanajikuta wanajua vitu alafu ni uongo
Umeiva bibie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hebu tuelezee na vile vyeo vya navy
 
Back
Top Bottom