Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Au kusadikia kabisaHilo litakua jeshi la wakongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au kusadikia kabisaHilo litakua jeshi la wakongo
Military intelligence ni pana zaidi ya ulivyoielezea mkuu hapo umeeleza kama 5% tu ya hicho kitengoOfisi zao tunaziita 'Ofisi za usalama na utambuzi'..
Kazi zao kuu ni kutambua yote yanayoendelea kikosini kila siku na kuyaandalia report, Uandaaji wa vitambulisho vya kazi vya p/staff na vijana makambini, mapokezi ya vijana wanaokuja aidha mujjbu wa sheria au kujitolea na kuwatambua na pia kutambua kwa haraka hali zozote zile zinazohatarisha usalama wa kikosi au wanakikosi na kuzidhibiti.
Kubwa kuliko yote lisilopendwa na wengi ni 'Umbea'....
Wengi wao ukiingia anga zao akikikusanyia ushahidi, unatema mwenge huku unajiona na hivyo kuwa ni kitengo cha kwanza kwa kuchukiwa makambini kikifuatiwa na MP.
Staff sajenti Mungu mtu??? Labla kwa ma private. Watu ambao ni miungu watu sana kikosini ni CO na MR RSMKuna vikosi mpaka Staff sajenti ni mungu mtu
Wewe ni mzee sasa hata jamaa wa ikulu hawezi kukutafutia gape kwa kweli821 kj Op miaka 50 ys jkt nahisi Mimi ndo sijapata ajira iwe mujibu au kujitolea Mungu jalia [emoji120]
Sema Kuna kitu huwa sielew kinanichanganya. Ki protocol mkuu wa majesh (CDF) anatakiwa kumpigia saluti hata mkuu wa wilaya. Sasa Swali langu ni je inapotokea na inatokea mara nyingi sana wakuu wa wilaya na mikoa hasa ya mipakani wanakuaga ni makanali na ma major general wanapokutana na CDF, Je CDF anawapigia saluti?Hapo umekuja kwenye point sasa imekuwa simple nilichokuwa sitaki kukisema hasa Hapo kwenye kukaimu kwa KG (naomba tuishia hapa nisiende mbele zaidi jamaa wa ikulu asije kusema mm ni kiherehere)
CO ndio mwenye kikosi (elewa kwa uzoefu wako)Staff sajenti Mungu mtu??? Labla kwa ma private. Watu ambao ni miungu watu sana kikosini ni CO na MR RSM
Ndo nakwambia sasa CO na MR RSM hao ndio miungu watu kikosini, kwanz sidhan Kuna kikao kinafanyika bila kuwepo au kutoa maelekezoCO ndio mwenye kikosi (elewa kwa uzoefu wako)
Sijui kwa kweli labda ndio maana SASHA Alikataa wasivae gwanda tenaSema Kuna kitu huwa sielew kinanichanganya. Ki protocol mkuu wa majesh (CDF) anatakiwa kumpigia saluti hata mkuu wa wilaya. Sasa Swali langu ni je inapotokea na inatokea mara nyingi sana wakuu wa wilaya na mikoa hasa ya mipakani wanakuaga ni makanali na ma major general wanapokutana na CDF, Je CDF anawapigia saluti?
Uzalendo tuWakuu hivi inawezekana watu kurepoti kambini mwezi mmoja kabla? Na kama ni ndio mda huo wote wanakuwa na shughuri wanafanya au wanakuwa wamekaa tu
yaah mkuu wanguUT lonja zimejificha sana kiongozi...naona lonja za JWTZ ndio zinapamba moto ...ngoja tuangalie hili chama nalo.
Nkya,mushi mkuuUnamfahamu nani kati ya hawa watu?
Nkya, Mushi, Mhuva, Tinda..
hahahaa tengo faruKwamba unahisi hata jkt hakupita...au kma alipita alikua daftari coy?
Kaka nisaidie kijana wako niingie chomboni au hata kaajira chochote naumbuka mm.hahahaa tengo faru
op muumgano ndo walikua op yenye bahati ,ilikuwa sifa damu tuu enzi za Gen Mwamunyange821 kj Op miaka 50 ys jkt nahisi Mimi ndo sijapata ajira iwe mujibu au kujitolea Mungu jalia [emoji120]
Hata mimi ni OP hiyo, 824 KJ821 kj Op miaka 50 ys jkt nahisi Mimi ndo sijapata ajira iwe mujibu au kujitolea Mungu jalia 🙏
Mkuu unasema op mererani na wakati kuna op magu bado wapo kitaaHiv kuna op mirerani mpaka leo yupo mtaa??