Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Upo sawa na nadhani unaelewa kuwa katoka luten usu to captain ni simple saana but ni ngumu kutoka captain kupanda zaidi

Kwa kigoma hakuna JKT ambayo mkuu wake ni kanal wala luten kanal (kwa sasa)

Now ni simple kukukuta captain ni mkuu wa kikosi cha JKT kuliko luten kanal
Captain mwenyew kuwa kamanda kikosi ni mara Chache sana, mara nyingi wanakua wana kaimu tu kwa muda
 
jeshi unalifahamu vya kutosha mkuu, Hata OC wetu mafinga jkt alikua luten. mkuu wa kikosi alikua Luteni kanali
Enzi zangu Kanembwa huko CO alikuw ni Major, CI ndio alikuw Captain na maluten walikuw kama watano tu kikosi kizima na ndio walikuw ma OC wa kombania na mmoja IO ambaye nasikia alikuja kuhamishiwa Mtabila
 
Wakubwa wa vikosi mara nyingi huwa ni
1.captain
2.Luten

Ni ngumu saana kumkuta kanal ni mkuu wa JKT kumbuka mikoa mingi haina brigedia general

Mfano mkoa wa kigoma mwanajeshi mwenye cheo kikubwa mkoa mzima ni kanali ambae anaripoti FARU tabora

Kanal wa kigoma Risasi 70 anapata shabaha zote
Luten? 🙄🙄🙄

Nchi gani hiyo?
 
Enzi zangu Kanembwa huko CO alikuw ni Major, CI ndio alikuw Captain na maluten walikuw kama watano tu kikosi kizima na ndio walikuw ma OC wa kombania na mmoja IO ambaye nasikia alikuja kuhamishiwa Mtabila
Hivi hawa io mkuu huwaga na kazi gani maana hata pale mtabila walikuwepo hata kulinda guard wao huwaoni
 
Back
Top Bottom