mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
bdo jamaa anazidi ku poteza credits katika uziLuteni awe kamanda kikosi?? Ivi unaelewa unachosema kweli ww??? Alafu kamanda paredi atakua nani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bdo jamaa anazidi ku poteza credits katika uziLuteni awe kamanda kikosi?? Ivi unaelewa unachosema kweli ww??? Alafu kamanda paredi atakua nani??
Ma luten wengi makambini wanakua ni ma OC wa Kombaniabdo jamaa anazidi ku poteza credits katika uzi
Captain mwenyew kuwa kamanda kikosi ni mara Chache sana, mara nyingi wanakua wana kaimu tu kwa mudaUpo sawa na nadhani unaelewa kuwa katoka luten usu to captain ni simple saana but ni ngumu kutoka captain kupanda zaidi
Kwa kigoma hakuna JKT ambayo mkuu wake ni kanal wala luten kanal (kwa sasa)
Now ni simple kukukuta captain ni mkuu wa kikosi cha JKT kuliko luten kanal
jeshi unalifahamu vya kutosha mkuu, Hata OC wetu mafinga jkt alikua luten. mkuu wa kikosi alikua Luteni kanaliMa luten wengi makambini wanakua ni ma OC wa Kombania
Anadanganya luten kua kamanda kikosi wakati jumatatu masta paredi na wao wanapanga foleni kuhesabu nambajeshi unalifahamu vya kutosha mkuu, Hata OC wetu mafinga jkt alikua luten. mkuu wa kikosi alikua Luteni kanali
Aseee master pared inakuwaga jau kinomaAnadanganya luten kua kamanda kikosi wakati jumatatu masta paredi na wao wanapanga foleni kuhesabu namba
hahahaa ukiacha hao ni wa Jkt ,huko vikos vya namba mbili luteni wanakimbizana tuu[emoji1]Anadanganya luten kua kamanda kikosi wakati jumatatu masta paredi na wao wanapanga foleni kuhesabu namba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lonja kali sana
🤣Haya maisha ni kisanga, uko unamsikilizia mbanga wako akuungie mchongo kumbe nae ana mbanga wake anamsikilizia
Enzi zangu Kanembwa huko CO alikuw ni Major, CI ndio alikuw Captain na maluten walikuw kama watano tu kikosi kizima na ndio walikuw ma OC wa kombania na mmoja IO ambaye nasikia alikuja kuhamishiwa Mtabilajeshi unalifahamu vya kutosha mkuu, Hata OC wetu mafinga jkt alikua luten. mkuu wa kikosi alikua Luteni kanali
UT lonja zimejificha sana kiongozi...naona lonja za JWTZ ndio zinapamba moto ...ngoja tuangalie hili chama nalo.nimevizia lonja ya UT mahali lkn sijapata. Hope wadau mtakua nazo za UT ,tupeni lonja mpya
Luten? 🙄🙄🙄Wakubwa wa vikosi mara nyingi huwa ni
1.captain
2.Luten
Ni ngumu saana kumkuta kanal ni mkuu wa JKT kumbuka mikoa mingi haina brigedia general
Mfano mkoa wa kigoma mwanajeshi mwenye cheo kikubwa mkoa mzima ni kanali ambae anaripoti FARU tabora
Kanal wa kigoma Risasi 70 anapata shabaha zote
Hilo litakua jeshi la wakongoLuten? 🙄🙄🙄
Nchi gani hiyo?
Hivi hawa io mkuu huwaga na kazi gani maana hata pale mtabila walikuwepo hata kulinda guard wao huwaoniEnzi zangu Kanembwa huko CO alikuw ni Major, CI ndio alikuw Captain na maluten walikuw kama watano tu kikosi kizima na ndio walikuw ma OC wa kombania na mmoja IO ambaye nasikia alikuja kuhamishiwa Mtabila
Kwamba unahisi hata jkt hakupita...au kma alipita alikua daftari coy?bdo jamaa anazidi ku poteza credits katika uzi