SaulGoodman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 418
- 906
Mhh waajiri Kila mwaka cdhanHivi kuna possibility ya mh rais kutoa ajira nyengine za polisi 2024 na Uhamiaji au mambo ya ndani kiujumla wanawez kuja ten 2024
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhh waajiri Kila mwaka cdhanHivi kuna possibility ya mh rais kutoa ajira nyengine za polisi 2024 na Uhamiaji au mambo ya ndani kiujumla wanawez kuja ten 2024
Hapa wataa kaa tenaa maana kuna sekta zingine wajaari kabs ko sizaniii mkuuuuMhh waajiri Kila mwaka cdhan
Ronja musata mwezi ujawoo baaba.Hahahaha leta lonja sasa
Unamfahamu nani kati ya hawa watu?jeshi unalifahamu vya kutosha mkuu, Hata OC wetu mafinga jkt alikua luten. mkuu wa kikosi alikua Luteni kanali
Military intelligence ndio wanahusika nayoHivi hawa io mkuu huwaga na kazi gani maana hata pale mtabila walikuwepo hata kulinda guard wao huwaoni
Oyaaaa uhakikaaa?Ronja musata mwezi ujawoo baaba.
Usitheme kwingine.
Mushi mafinga mojaUnamfahamu nani kati ya hawa watu?
Nkya, Mushi, Mhuva, Tinda..
Hawa ni kama usalama wa taifa auMilitary intelligence ndio wanahusika nayo
Ofisi zao tunaziita 'Ofisi za usalama na utambuzi'..Hawa ni kama usalama wa taifa au
Mwaka jana kwa waliohudhuria mchakato wa Mby walichukua ngorongoro urefu chini ya 5.5'.!!! Kikubwa tuu awe na vile vigezo vya mwaka jana vya iv ya 28, 29 na 30.Dadeki napita Bahi hapa naona matraffic wafupi balaa , kumbe me mrefu kabisaa wakuu.
Nimepata energy ya kuendelea kupambania PT.
Nimekupata mkuuOfisi zao tunaziita 'Ofisi za usalama na utambuzi'..
Kazi zao kuu ni kutambua yote yanayoendelea kikosini kila siku na kuyaandalia report, Uandaaji wa vitambulisho vya kazi vya p/staff na vijana makambini, mapokezi ya vijana wanaokuja aidha mujjbu wa sheria au kujitolea na kuwatambua na pia kutambua kwa haraka hali zozote zile zinazohatarisha usalama wa kikosi au wanakikosi na kuzidhibiti.
Kubwa kuliko yote lisilopendwa na wengi ni 'Umbea'....
Wengi wao ukiingia anga zao akikikusanyia ushahidi, unatema mwenge huku unajiona na hivyo kuwa ni kitengo cha kwanza kwa kuchukiwa makambini kikifuatiwa na MP.
Huwaga kuna kozi wanapiga sioOfisi zao tunaziita 'Ofisi za usalama na utambuzi'..
Kazi zao kuu ni kutambua yote yanayoendelea kikosini kila siku na kuyaandalia report, Uandaaji wa vitambulisho vya kazi vya p/staff na vijana makambini, mapokezi ya vijana wanaokuja aidha mujjbu wa sheria au kujitolea na kuwatambua na pia kutambua kwa haraka hali zozote zile zinazohatarisha usalama wa kikosi au wanakikosi na kuzidhibiti.
Kubwa kuliko yote lisilopendwa na wengi ni 'Umbea'....
Wengi wao ukiingia anga zao akikikusanyia ushahidi, unatema mwenge huku unajiona na hivyo kuwa ni kitengo cha kwanza kwa kuchukiwa makambini kikifuatiwa na MP.
Ndio.Huwaga kuna kozi wanapiga sio
SawasawaNdio.
Hapo umekuja kwenye point sasa imekuwa simple nilichokuwa sitaki kukisema hasa Hapo kwenye kukaimu kwa KG (naomba tuishia hapa nisiende mbele zaidi jamaa wa ikulu asije kusema mm ni kiherehere)Captain mwenyew kuwa kamanda kikosi ni mara Chache sana, mara nyingi wanakua wana kaimu tu kwa muda
Jamaa yupo nondo anaongea protocol ilivyo but KG kanal akitaka kwenda nje ya mkoa ofisi anaiacha chini ya meja aliyakuwa L.kanal yupo (ushikaji binafsi) na vikosi vyote huku vimekuwa hivyojeshi unalifahamu vya kutosha mkuu, Hata OC wetu mafinga jkt alikua luten. mkuu wa kikosi alikua Luteni kanali
Kuna vikosi mpaka Staff sajenti ni mungu mtuhahahaa ukiacha hao ni wa Jkt ,huko vikos vya namba mbili luteni wanakimbizana tuu[emoji1]