Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hawa ni kama usalama wa taifa au
Ofisi zao tunaziita 'Ofisi za usalama na utambuzi'..
Kazi zao kuu ni kutambua yote yanayoendelea kikosini kila siku na kuyaandalia report, Uandaaji wa vitambulisho vya kazi vya p/staff na vijana makambini, mapokezi ya vijana wanaokuja aidha mujjbu wa sheria au kujitolea na kuwatambua na pia kutambua kwa haraka hali zozote zile zinazohatarisha usalama wa kikosi au wanakikosi na kuzidhibiti.

Kubwa kuliko yote lisilopendwa na wengi ni 'Umbea'....

Wengi wao ukiingia anga zao akikikusanyia ushahidi, unatema mwenge huku unajiona na hivyo kuwa ni kitengo cha kwanza kwa kuchukiwa makambini kikifuatiwa na MP.
 
Nimekupata mkuu
 
Huwaga kuna kozi wanapiga sio
 
jeshi unalifahamu vya kutosha mkuu, Hata OC wetu mafinga jkt alikua luten. mkuu wa kikosi alikua Luteni kanali
Jamaa yupo nondo anaongea protocol ilivyo but KG kanal akitaka kwenda nje ya mkoa ofisi anaiacha chini ya meja aliyakuwa L.kanal yupo (ushikaji binafsi) na vikosi vyote huku vimekuwa hivyo
 
Back
Top Bottom