Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,644
- 2,382
Majukum yao zaidi ni yapi ??hvi transport officer ni mjeda wa kikosi gani wakuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majukum yao zaidi ni yapi ??hvi transport officer ni mjeda wa kikosi gani wakuu?
Kesho kanembwa wanafanya usaili jwWadau eeeh tupambane msata panaingilika dadek
nilikua naibia lonja hz za JWTz na magereza ,mbuyu ukasema umulizie mwanae yuko kitengo hkoMajukum yao zaidi ni yapi ??
Hawa wale ma GD wakiwa wengi huwa wanapendeza sana wakiwa kwenye defenderMe nikiwaona wale FFU lazima nisimame niwaangalie walivyopendeza
Kumuomba Mungu afungue milango na kutafuta mibanga isikaze yani dah acha tu...JW n UT ndio napataman sio poa naTupe mbinu mzee na vipi imejulikana idadi yao wanaopiga?
Asee hiki ndio kipindi cha kuwanyenyekea maafande washike mkonoKesho kanembwa wanafanya usaili jw
Vikosi vyote vya jeshi vina hawa watuhvi transport officer ni mjeda wa kikosi gani wakuu?
ni rank ipi mkuu?nikajua ni mjeda kikosi anga.Vikosi vyote vya jeshi vina hawa watu
Idadi yao wanayotaka inajulikana poti?Kumuomba Mungu afungue milango na kutafuta mibanga isikaze yani dah acha tu...JW n UT ndio napataman sio poa na
Mtipidi Safari hii wamekuja mapema sana kuchukua watu wao.sijui Kwann tofaut na mwaka jana walikuja mwishonKesho kanembwa wanafanya usaili jw
Utapata tu hata uhamiaji.Kumuomba Mungu afungue milango na kutafuta mibanga isikaze yani dah acha tu...JW n UT ndio napataman sio poa na
Leaving certificate Hainaga kazi.Naomba kuuliza mfano nina mdogo wangu hakupata matokeo mazuri awali kidato cha 4 alipata 0. Akaenda kurudia mtiani na akapata credit 3.
Akajisajili tena kama private candidate na kufanya mtiani na kufaulu vizuri.
Alienda JKT mujibu wa sheria na cheti anacho.
Swali je uyu mtu LEAVING CERTIFICATE atapeleka kipi katika kufanya maombi kama ayoo ya upolisi?
Ndio hivyo yaani ndio wakati wa kusumbua mibuyuAsee hiki ndio kipindi cha kuwanyenyekea maafande washike mkono
Mambo yanabadilika mkuuMtipidi Safari hii wamekuja mapema sana kuchukua watu wao.sijui Kwann tofaut na mwaka jana walikuja mwishon
Kwa hiyo sisi raia wakitaa ndio JWTZ wametususa au sio ?Kesho kanembwa wanafanya usaili jw
Mkuu kutoka kitaa mpaka uingie kule sio poa uwe na mtu wa maana kweli kweli lkn hv hv daah sjui kwa kweliKwa hiyo sisi raia wakitaa ndio JWTZ wametususa au sio ?
Labda ponea yetu ndo kama hivi kwa kuandika barua polisi, uhamiaji, magereza na wao wangeamua kukaza hakuna kuandika barua za maombi ni wa vikosi tu, ***** tungemtafuta mchawiKwa hiyo sisi raia wakitaa ndio JWTZ wametususa au sio ?
Sijafahamu bado kiongozIdadi yao wanayotaka inajulikana poti?
Rank mkuu inategemea na elimu yake na for how long yupo huko sio kwamba kuna fixed rank kwa anyone ambaye atkuw kwenye hilo tengoni rank ipi mkuu?nikajua ni mjeda kikosi anga.