southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
me sipo kwenye chombo mze kama wengine tuu humuKaka nisaidie kijana wako niingie chomboni au hata kaajira chochote naumbuka mm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
me sipo kwenye chombo mze kama wengine tuu humuKaka nisaidie kijana wako niingie chomboni au hata kaajira chochote naumbuka mm.
Sifa nini poti?Wadau eeeh tupambane msata panaingilika dadek
Sifa mungu na mbanga maana hata ukiwa na vimaradhi kidogo unakuwa wa maelekezo asee haya maisha hayaSifa nini poti?
RSM na CO ndo kila kitu katika kambiStaff sajenti Mungu mtu??? Labla kwa ma private. Watu ambao ni miungu watu sana kikosini ni CO na MR RSM
SahihiSifa mungu na mbanga maana hata ukiwa na vimaradhi kidogo unakuwa wa maelekezo asee haya maisha haya
Ndio mkuu maelekzo yanakuwa mengiSahihi
Apa tunapeana Lonja, hakuna mtu amesema ana uhakika na Kazi. Malalamiko yako peleka ukoooNyie acheni mabishano ya kitoto unaweza ukawa unalijua jeshi na ukaishia mtaani vilevile
Umeiva bibieKama mtu hujui kitu si ukae kimya, kwann unajichoresha alafu hujui
1. General (Mkasi + Bibi na Bwana + [emoji294][emoji294][emoji294][emoji294])
2. Luten General (Mkasi + Bibi na Bwana + [emoji294][emoji294][emoji294])
3. Major General (Mkasi + Bibi na Bwana + [emoji294][emoji294])
4. Brigadier General (Mkasi + Bibi na Bwana + [emoji294])
5. Kanali (Bibi na Bwana + [emoji294][emoji294])
6. Luten Kanali (Bibi na Bwana + [emoji294])
7. Major (Bibi na Bwana)
8. Captain ([emoji294][emoji294][emoji294])
9. Luten ([emoji294][emoji294])
10. Luten Usu ([emoji294])
Hivyo ndio vyeo vya maafisa wakubwa wa JWTZ. watu wanajikuta wanajua vitu alafu ni uongo
Wapo ndio, mujibu wapo wengi tu,walujitolea pia wapo nina rafik angu naye ameomba tena uhamiaji na PT ni mererani tena wakujitolea wenzie wengi washakula ajira yeye badoHiv kuna op mirerani mpaka leo yupo mtaa??
hebu tuelezee na vile vyeo vya navyKama mtu hujui kitu si ukae kimya, kwann unajichoresha alafu hujui
1. General (Mkasi + Bibi na Bwana + [emoji294][emoji294][emoji294][emoji294])
2. Luten General (Mkasi + Bibi na Bwana + [emoji294][emoji294][emoji294])
3. Major General (Mkasi + Bibi na Bwana + [emoji294][emoji294])
4. Brigadier General (Mkasi + Bibi na Bwana + [emoji294])
5. Kanali (Bibi na Bwana + [emoji294][emoji294])
6. Luten Kanali (Bibi na Bwana + [emoji294])
7. Major (Bibi na Bwana)
8. Captain ([emoji294][emoji294][emoji294])
9. Luten ([emoji294][emoji294])
10. Luten Usu ([emoji294])
Hivyo ndio vyeo vya maafisa wakubwa wa JWTZ. watu wanajikuta wanajua vitu alafu ni uongo
Tupe mbinu mzee na vipi imejulikana idadi yao wanaopiga?Wadau eeeh tupambane msata panaingilika dadek
Saluteee ,hivyo vyeo ni mwenyewe nilikuwa nishavisahau jinsi ya mpangilio kuanzia wa juu mpaka luteni usu , kuruta aliiva sana huyo