Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kijana swala la kupigiwa simu, sio tatizo tatizo liko mzigo ukitumwa makao makuu ya polisi , huko ndo ukisikia mtu hajawai hata kufanya usahili ila yupo kwenye list.
Wakubwa huwa wanapewa nafasi labda 3 au 5 aweke watu wake hivyo ni kawaida kabisa.
 
Hahahahahahaha kwamba Wenye nafasi zao tayari wapooo eeehhh hahahahah
Unadhani familia ya Nyerere hawapewi nafasi,zipo familia nchi hii ni first class citizens fursa kama hizi huwekewa nafasi zao.
 
Miezi 9 usisimamishe mnazi? Siyo rahisi.
 
Vijana wa jkt raundi hii lazima mtafutane huko mtaani na huko makambini maana naona Mama anawapigia mwingi kweli kweli na hapo bado TPDF baba lao. View attachment 1951284
Enzi zile za JK zimerudi tena majeshini,enzi zile watoto wa wakubwa kuwakuta jeshini ni mmoja mmoja yaani maana ajira zimefunguliwa sasa,ajira za walalahoi majeshini na ualimu na ajira za wazito wizarani na taasisi kubwa kubwa.Vijana mshindwe wenyewe
 
Mnazifatilia ajira za polisi uhamiaji na zimamoto na magereza wakuu si tulikubariana huko wanaenda ma failures au?
 
Hakuna sehem yenye wasomi wa kila aina na kila daraja la elimu kama kwenye vyombo vya ulinzi kuanzia la 7 wapo form four 4 wapo six wamejaa bachellor holder wakutosha ma doctor ma engineer ma pilot usisema ma docta bigwa wakumwaga tubadirike hii mentality kwamba Jeshini hakuna wasomi.
 

Tushabadikika boss,ndio maana tunafuatilia kwa ukaribu sana
 
Waache wakariri tu..
 
Haya wakubwa mkeka mazima huu hapa [emoji1313][emoji1313][emoji1313]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…