mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
Em tupe mbinu za kimedani.Kaka unazembea tu mwenywe ...kaza uzame JW
sawa mkuuYeye hana tu channel kubwa,hakuna kinachoshindikana hapa duniani..
Kumrudisha mfu kua haii ndio jambo limeshindikana
Huyo ni mtu mkubwa mzee...anamaelekezo mazito halafu anazembea
TUombee dua tu ..tutazama chiefsawa mkuu
Sasa mwenye Mkasi unadhani utakutana nae main gate 😂😂😂Safi mkuu kesho nawaza sijui nitimbe ngome nikamvae officer yyte mwenye mkasi
Mwache aende getini akutane na ma private au coplo wamnyoosheSasa mwenye Mkasi unadhani utakutana nae main gate 😂😂😂
Ma MP huwa wanywanywa sana ..watakupapasa hutoaminigetini ma MP mkuu
nshawah kwenda ngome msalato nkakutana na mzee mmoja anatoka getin hakuvaa gwanda alikua kiraia akanambia mbona nishachelewa maana ilibak wiki oljoro waanze kozi,but kuna mwamba alinidaka akaniuliza why nazurula maeneo ya pale nikamuonesha kitambulisho,akaniambia kula utawalaSafi mkuu kesho nawaza sijui nitimbe ngome nikamvae officer yyte mwenye mkasi
Kitambulisho gani tenanshawah kwenda ngome msalato nkakutana na mzee mmoja anatoka getin hakuvaa gwanda alikua kiraia akanambia mbona nishachelewa maana ilibak wiki oljoro waanze kozi,but kuna mwamba alinidaka akaniuliza why nazurula maeneo ya pale nikamuonesha kitambulisho,akaniambia kula utawala
Uzi wa matesoHuu Uzi hata nikiwa nimeajiriwa a majeshi sitaacha kuja humu kushea lonja
nilikuwa sm kipindi hichoKitambulisho gani tena
Kitambulisho cha sm mpaka leo bado unacho au nimeelewa vibaya mkuunilikuwa sm kipindi hicho
Wewe usikate tamaa mwambie ampange, Kuna private mmoja nilikua naiva nae sana mtaani alinisimulia bi mkubwa wake ni rafiki na kanali mmoja wa kike lkn. Private alinambia ye aliongea na uyo kanali mara Moja tu kupitia bi mkubwa wake akapewa maelekezo ya kwenda kwenye usaili akaambiwa ukikutana na changamoto piga simu nipe nizungumze na huyo muhusika. Kweli Jamaa alipoona haelew kwenye usahili akatoa simu akamvutia waya kanali kanali akaongea nao kijana akakabidhiwa kwa mtu mpk mwisho wa usahili siku majina yanatoka nayeye yumo, akapiga simu kutoa shukran kwa kanali akaambiwa wahi kambini. 😂😂😂Private anasema alikaa chomboni karibu miaka minne ndo yule kanali akamuita wafahamiane. Sasa kama kanali alikua anavuta waya tu sembuse Luten GeneralDaaaah homeboy wangu mmoja nilikuwa nae kigoma na turirudi wote om sasa hv kauvaaa mshati, nimejaribu kumcheki jana kuhusu mbanga wake akasema atanicheki, leo kanicheki kaniambia ule mbanga asee umeenda zambia kuwa balozi, arafu alikuwa anaelewana nae sana na ndo alimpiganiia luteni general, daah kwa sasa nimechoka na kuishiwa nguvu maana ndio hvyo hayupo