mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
jamaa akaendelea kunichana,kuingia jwtz kama umetoka uraiani itabidi mbuyu ukuombee kwa mkuu wa kikosi . kumbuka yeye ni luteni lkn bdo anadai wakubwa ndio wakufaitie kwa makamanda wa vikosi