Kuna mtoto wa barozi wetu wa Rwanda dingi yake alikuwa ni mnene jeshini kama una mbinu za kimedani nikuunganishe na huyo mtoto ni she nimesoma nae chuo uchonge nae utembelee connection zake zilizopo huku(for ur own risk ukipunwa utajijua)
Nimeota nimemchoma mkuki jamaa wa ikulu
Wee jamaaa tuma pdf humu
Zimamoto mimi pia nilitaka kuomba ila vigezo vyao vya kifala ,sijui watapata watu wangapi kwa vigezo vya kiduwanzi kama vile ,zimamoto sijaomba,ila nikiona pdf imetema inanipa notification kuwa kumekucha kwa pdf za UT&PT
Wanazingua fire vigezo vinalimit watubwengi kuomba sema watarudi tenaZimamoto mimi pia nilitaka kuomba ila vigezo vyao vya kifala ,sijui watapata watu wangapi kwa vigezo vya kiduwanzi kama vile ,
hahaaa,poti sio poaZimamoto mimi pia nilitaka kuomba ila vigezo vyao vya kifala ,sijui watapata watu wangapi kwa vigezo vya kiduwanzi kama vile ,
Eeeeeeh boss uhamiaji soon kaka
Huyu Nanga kajiunga majuzi ijumaa Jamii forum ,analeta mzaha humu ndaniZimamoto wametia pdtf jamaaaannn
pay attention utumishi mkuuTanapa mbna hawatangazi ajira ??
Kwa vile vigezo unadhani nani kaomba humu [emoji3] ile ngoma nilijua tu wadau wangu wengi humu imewapita kushotozimamoto sijaomba,ila nikiona pdf imetema inanipa notification kuwa kumekucha kwa pdf za UT&PT
Ungejilipua tu maana kiuhalisia vilikuw sio applicable ndio maana kuna mtu akaniambia kuwa waliojilipua kuomba basi wataitwa.Zimamoto mimi pia nilitaka kuomba ila vigezo vyao vya kifala ,sijui watapata watu wangapi kwa vigezo vya kiduwanzi kama vile ,
ni mwaka wa tatu huu niko street nauza machungwa tanguKwa vile vigezo unadhani nani kaomba humu [emoji3] ile ngoma nilijua tu wadau wangu wengi humu imewapita kushoto
Umenikumbusha mbali sana kiongozi! Kanali Mkisi alikuwa mkuu wangu wa shule huyu JitegemeeSijui kwa kweli labda ndio maana SASHA Alikataa wasivae gwanda tena
Umefanya nimkumbuke MKISI waha walimuonyesha kazi haswa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ni mwaka wa tatu huu niko street nauza machungwa tangu
ni hitimu elimu yetu ya makaratasi hpo ubungo
So poa mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio poa wengine minne kk wanatoboani mwaka wa tatu huu niko street nauza machungwa tangu
ni hitimu elimu yetu ya makaratasi hpo ubungo
Mungu akijaalia this weekend UT mambo yote hadharaniLeteni lonja wiki imeanza hii
hahah ila hii mibanga hii, badae nikitulia nitaleta kisa kimoja cha majamaa falani hiviYani sifa mbanga uwe full charge tu ila hii ya saivi msata panaendeka