mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
nasikia zimamoto kozi yao bata sanakwa majeshi yote nahisi ZT ndio wana kozi laini kama ya JKT RUVU π π
zima motoo mkuu
Heeeeh kwahyo ndo wanataka vifaaa vya michezo aah ***** kuna route hapo sio burezima motoo mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii nilisikia juzi kuna mtu nilimwambia aapply magereza akanambia sina hamu nao walinikimbiza mabio ya maana na ajira hawakunipa oyaa sio pw wanazingua sana kama ni hivyo..siku ya usahili wameagiza vifaa vya michezo ,aiseeh litakufa jitu kwa mabio
Route ya mlima range kutokea maguruwe lazima utoke kitambiHeeeeh kwahyo ndo wanataka vifaaa vya michezo aah ***** kuna route hapo sio bure
kazi tunayo ma afandee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii nilisikia juzi kuna mtu nilimwambia aapply magereza akanambia sina hamu nao walinikimbiza mabio ya maana na ajira hawakunipa oyaa sio pw wanazingua sana kama ni hivyo..
Duuuuh kwahyo magereza nako kwenye usahili wake kuna mabiohii nilisikia juzi kuna mtu nilimwambia aapply magereza akanambia sina hamu daaah magere
Polisi usaili wao hauna kashkash...sijui usaili wa JWTZ wao unaokuaje. ZT kama unajua kuogelea na umesoma kwenye chuo Chao unapita chap tuDuuuuh kwahyo magereza nako kwenye usahili wake kuna mabio
Kuna mwana aliniambia presha ukiwa na presha ni mtiti maana hofu tu inaleta presha aseePolisi usaili wao hauna kashkash...sijui usaili wa JWTZ wao unaokuaje. ZT kama unajua kuogelea na umesoma kwenye chuo Chao unapita chap tu
pole mkuu,umepitia page zote?Nimepigwa TKO MAPEMA FIRE
Maliasili kumelala sasa ,hivi sijui shida iko wapi ?Tanapa mbna hawatangazi ajira ??
Daah. Pole sana mkuudaah me nlimaliza chuo 2017 nikaa miaka miwili kitaa nikaona pagumu nikarudi jakata nimekaa miaka mi3 now nmerud tena kitaa
ipo ktk mfumo wa images labda mtu amerge ktk mfumo wa pdf