methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Sasa si bora ukawa mfupi lkn ukawa na afya, je ukiwa mrefu alafu hauna afya njema si umepoteza sifaHii inatokea pale mwanasiasa anapoongea bila kufanya utafiti. Wafupi wengi tu wapo.
Ni kweli bado maombi wanayachanganua Sasa kuna wadau huku wamesema wameshafanya usaili baadhi ya mikoa .PT haiendagi haraka kihivyo...unless mwaka huu labda ibadilike. Mchakato wa kuchambua bado unaendelea. Na Mikoani huko bado hawajakamilisha.
Kwa nn uwe na hofu mkuu au ww ni lihalifu 😂Dystonia7 mkuu polisi wanakuaga na vipimo gani muhimu vya kucheki, na vp kuhusu presha, maana kuna ile ya hofu na ya ugonjwa inakuwaje hapo
Hapa kuna ile ya hofu mkuu na ile ya ugonjwa sasa sijajua hapa wao wanaangalia nini haswaIvi issue kama BP wakikupima namba zikiwa juu (elevated) ndo bye bye
Hata ya ugonjwa hua haipimwi siku moja wala mara mojaHapa kuna ile ya hofu mkuu na ile ya ugonjwa sasa sijajua hapa wao wanaangalia nini haswa
Hofu si mshtuko tu mkuu ni kama vile mtu anakushtua bila ww kujua lazima ushtuke sasa kitendo hiko lazima presha ipandeKwa nn uwe na hofu mkuu au ww ni lihalifu 😂
Hofu kwamba BP cuff inaweza kukusalitiKwa nn uwe na hofu mkuu au ww ni lihalifu 😂
Kwan ulivyoenda jkt hukupimwa presha?...Hapa kuna ile ya hofu mkuu na ile ya ugonjwa sasa sijajua hapa wao wanaangalia nini haswa
HatareeeHata ya ugonjwa hua haipimwi siku moja wala mara moja
Huwez kuconclude status ya BP ya mtu kwa kutumia "blood pressure reading " moja pekee so hawawez kukujudge kwa hilo pekee kuwa ni unfit kama wanafata nn kinachotakiwa katika taaluma za kitabibu.Ivi issue kama BP wakikupima namba zikiwa juu (elevated) ndo bye bye
Hahahahahah a amna mkuu tunazungumza tu hapa kuelewashana, jkt vipimo vyote lazima upimweKwan ulivyoenda jkt hukupimwa presha?...
Punguza mteru pot
Vipimo ndo vile vile sasaHahahahahah a amna mkuu tunazungumza tu hapa kuelewashana, jkt vipimo vyote lazima upimwe
U can't define if someone is hypertensive or not by only taking one reading. So that won't be a factor to rule you our unless it is too high beyond the normal range hadi ishtue wataalamuHofu kwamba BP cuff inaweza kukusaliti
Sure chiefHuwez kuconclude status ya BP ya mtu kwa kutumia "blood pressure reading " moja pekee so hawawez kukujudge kwa hilo pekee kuwa ni unfit kama wanafata nn kinachotakiwa katika taaluma za kitabibu.
Sasa mkuu mbona umetumia kimombo tena hutaki me nisijueU can't define if someone is hypertensive or not by only taking one reading. So that won't be a factor to rule you our unless it is too high beyond the normal range hadi ishtue wataalamu
MrBanks hapo juu kaelezea sawa kabisa na nilichoandika kaka.Sasa mkuu mbona umetumia kimombo tena hutaki me nisijue
Alaaaa kumbeMrBanks hapo juu kaelezea sawa kabisa na nilichoandika kaka.