methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Tulikuwa tunabishana na wadau hapa kwamba mjeda asiye na cheo anaweza msalimia koplo wa police au nyota moja polisi, vile vile kwa vyombo vingine magereza, hii imekaaje wadau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha mzee wa UTLonja kali sana
Jamaa inaonekana alikatwa kibangala kwenye saili, kaona atumie uvccm kututetea wengine. Jeshi ambalo halinaga mbambamba ni JWTZ kule uwe mrefu, mfupi twendee kikubwa unamaji ya kutosha, umefungua moyo na afya iko njema, ni mwendo wa magogo na mistimu +kubeba dunia juu ya mawe smg mikononi kichwa kwenye jiwe+ viboko vya kutosha.Mwanasiasa huyo kaongea tu bila kufanya utafiti
mkuuuHahahahaha mzee wa UT
Polisi na JW zipo idara mbili tofauti hivyo rank zao ni tofauti ila zinakuwa equivalent na JW hivyo ata ukiwa na cheo kma ni kidogo kulingana na Cha polisi utamsalimia Wala usiji danganye kuwa eti nyota moja polisi ni ndogo kuliko nyota moja jwTulikuwa tunabishana na wadau hapa kwamba mjeda asiye na cheo anaweza msalimia koplo wa police au nyota moja polisi, vile vile kwa vyombo vingine magereza, hii imekaaje wadau
Oyaaaa mkuu sio poa kabisa daaahJamaa inaonekana alikatwa kibangala kwenye saili, kaona atumie uvccm kututetea wengine. Jeshi ambalo halinaga mbambamba ni JWTZ kule uwe mrefu, mfupi twendee kikubwa unamaji ya kutosha, umefungua moyo na afya iko njema, ni mwendo wa magogo na mistimu +kubeba dunia juu ya mawe smg mikononi kichwa kwenye jiwe+ viboko vya kutosha.
Nipe lonja mwanangumkuuu
Pia kazi ni ngumu nyie nendeni popote c muda wa kuchagua kazi mtasotaJamaa inaonekana alikatwa kibangala kwenye saili, kaona atumie uvccm kututetea wengine. Jeshi ambalo halinaga mbambamba ni JWTZ kule uwe mrefu, mfupi twendee kikubwa unamaji ya kutosha, umefungua moyo na afya iko njema, ni mwendo wa magogo na mistimu +kubeba dunia juu ya mawe smg mikononi kichwa kwenye jiwe+ viboko vya kutosha.
Kwamba mkuu hapa unamaanisha hata private wa jw anaweza msalimia koplo wa magereza sioPolisi na JW zipo idara mbili tofauti hivyo rank zao ni tofauti ila zinakuwa equivalent na JW hivyo ata ukiwa na cheo kma ni kidogo kulingana na Cha polisi utamsalimia Wala usiji danganye kuwa eti nyota moja polisi ni ndogo kuliko nyota moja jw
Kazi popote mkuu kitaa kugumu, wanasemaga kazi umbaya ukiwa unayo, lakini ukiwa hauna ni kisangaPia kazi ni ngumu nyie nendeni popote c muda wa kuchagua kazi mtasota
za ndaani sina sahz nasubiria mkeka uteme tuNipe lonja mwanangu
Mwanangu mfwende au kama vp kajaribu mzigo wa nondo
Mzigo wa nondo mkuu, ukienda kuanza lazima wakutishe kukupangia kule kwenye uji uji au kwenye kutoa nondo za motowapi hpo mkuu
Jw kumbe kuna vibokoJamaa inaonekana alikatwa kibangala kwenye saili, kaona atumie uvccm kututetea wengine. Jeshi ambalo halinaga mbambamba ni JWTZ kule uwe mrefu, mfupi twendee kikubwa unamaji ya kutosha, umefungua moyo na afya iko njema, ni mwendo wa magogo na mistimu +kubeba dunia juu ya mawe smg mikononi kichwa kwenye jiwe+ viboko vya kutosha.
Stick nyingi mkuu washkaji walinambia ni somo la uvumilivuJw kumbe kuna viboko