Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mi nilipita pale kwata walikaza kama kawa, siwez sahau Kuna Babu mmoja anavuta sigara atar ni staff sajent anaitwa "Babu Venue" mzee alituzungusha round 25 za mwendo wa pole, Kila saa tuna maliza unaskia "Samahani afande warudie tena". Mkifanya vizur anafurah anataka mrudie tena aone mkifanya vibaya mtakula kazi na mtarudia Yani ile siku tulitoka paredi kama tumeganda mpaka ma private wakawa wanasepa kula Tano alafu wanarudi mzee yupo na sisi. 😂😂😂 Kesho yake asubuhi akatuamkia tena mzee akatushtua kwata kidogo tukarudisha silaha Amala tukanywa chai tumerudi akatupiga ruti ndefu ile tumefika😂😂😂 tukawekwa kivulini Ili tufundishwe silaha alafu ma private wamejaa kibao, oya😂😂😂😂 tulikua tuna kula mabanzi vibaya mno sababu watu tunasinzia pale kwenye vivuli vya miti Kuna upepo balaa afu watu tumechoka mnoo. Yani jirani yako anapigwa banzi pembeni yako unashtuka 😂😂😂 baada ya dk 5 mnasinzia tena, daah
Afande veno.. ruti embakasi, magagula fatiki ya kuzima moto. 😆😆
Kwata lina pigwa usiku huku iveco imewashwa taa full

Prv Milito na somo la Uvumilivu
Prv Asa Mwite huyo Mungu wako aje akuokoeee😂😂😂😂😂
Prv pilato mzee wa kupima joto la ardhii
Prv manyama anakwambia iyo rutmach mtatembea mpaka pumbu zipasuke😅😅😅
Alafu kulikuwa na prv 1 iv anakwambia kuruti mnataka pima uzito wa pumbu zangu mjue zina gram ngapi tuonane baadae..
Mlale kikosi kazi big upcomrd..
 
Et mtatembea hadi pumbu zipasuke hahahahahahahaha
 
Back
Top Bottom