MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
JW viboko ndio vimezaliwa mkuu.Jw kumbe kuna viboko
Walio piga kozi mwaka jana wanakuambia ilikuja karandinga imejaa viboko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JW viboko ndio vimezaliwa mkuu.Jw kumbe kuna viboko
Duh 🙌🙌🙌JW viboko ndio vimezaliwa mkuu.
Walio piga kozi mwaka jana wanakuambia ilikuja karandinga imejaa viboko.
Ni wazi mkuu, huko wamejaa kazi maalumNi DCEA mkuu. Huko wamejaa sana watu wa suti nyeusi
Goodhiii
Kumbe kipo na uku bongo mimi ndo nakisaka hikiNi DCEA mkuu. Huko wamejaa sana watu wa suti nyeusi
Kila jeshi lina ugumu wake, JW pamoja na ugumu miez 4 dundo linakata, PT sasa ndio fujo miezi 9 huijui hata simu wala jf, au huwa kuna muda wanaruhusu mkuu wakati wa kozi?Duh 🙌🙌🙌
JW siku 120 unauma meno unaanza kula maishaKila jeshi lina ugumu wake, JW pamoja na ugumu miez 4 dundo linakata, PT sasa ndio fujo miezi 9 huijui hata simu wala jf, au huwa kuna muda wanaruhusu mkuu wakati wa kozi?
Afande veno.. ruti embakasi, magagula fatiki ya kuzima moto. 😆😆Mi nilipita pale kwata walikaza kama kawa, siwez sahau Kuna Babu mmoja anavuta sigara atar ni staff sajent anaitwa "Babu Venue" mzee alituzungusha round 25 za mwendo wa pole, Kila saa tuna maliza unaskia "Samahani afande warudie tena". Mkifanya vizur anafurah anataka mrudie tena aone mkifanya vibaya mtakula kazi na mtarudia Yani ile siku tulitoka paredi kama tumeganda mpaka ma private wakawa wanasepa kula Tano alafu wanarudi mzee yupo na sisi. 😂😂😂 Kesho yake asubuhi akatuamkia tena mzee akatushtua kwata kidogo tukarudisha silaha Amala tukanywa chai tumerudi akatupiga ruti ndefu ile tumefika😂😂😂 tukawekwa kivulini Ili tufundishwe silaha alafu ma private wamejaa kibao, oya😂😂😂😂 tulikua tuna kula mabanzi vibaya mno sababu watu tunasinzia pale kwenye vivuli vya miti Kuna upepo balaa afu watu tumechoka mnoo. Yani jirani yako anapigwa banzi pembeni yako unashtuka 😂😂😂 baada ya dk 5 mnasinzia tena, daah
Et mtatembea hadi pumbu zipasuke hahahahahahahahaAfande veno.. ruti embakasi, magagula fatiki ya kuzima moto. 😆😆
Kwata lina pigwa usiku huku iveco imewashwa taa full
Prv Milito na somo la Uvumilivu
Prv Asa Mwite huyo Mungu wako aje akuokoeee😂😂😂😂😂
Prv pilato mzee wa kupima joto la ardhii
Prv manyama anakwambia iyo rutmach mtatembea mpaka pumbu zipasuke😅😅😅
Alafu kulikuwa na prv 1 iv anakwambia kuruti mnataka pima uzito wa pumbu zangu mjue zina gram ngapi tuonane baadae..
Mlale kikosi kazi big upcomrd..
Sio miezi 3 kweli cozJW siku 120 unauma meno unaanza kula maisha
Yeah! Ni kufungua moyo tu mzee.JW siku 120 unauma meno unaanza kula maisha
Kwanza full morali mkuu posho kibunda, alafu mshati unakusubiriYeah! Ni kufungua moyo tu mzee.
JW unakula kozi na mshati, ingawa kuna watu huwa naona wanakula kozi na karanga sijajua huwa inakuaje japo.Kwanza full morali mkuu posho kibunda, alafu mshati unakusubiri
Wiki moja ya mwisho ndio huwa mnarushiwa tauloKila jeshi lina ugumu wake, JW pamoja na ugumu miez 4 dundo linakata, PT sasa ndio fujo miezi 9 huijui hata simu wala jf, au huwa kuna muda wanaruhusu mkuu wakati wa kozi?
Posho yake ikoje huko ?Kwanza full morali mkuu posho kibunda, alafu mshati unakusubiri
Nakumbuka hii miaka hiyo mpaka Meja general Tuilinde (Twiilinde) alikuja kuwaambia maafande wa hapo wapunguze dozeLakini maafande wenu tupo 821KJ kikosi mama cha JKT zote
Inatagemea lkn mara nyingi mshati mwishoni ndo maana wakitoka kule wakipata likizo mshati unang'aa bdo mpyaJW unakula kozi na mshati, ingawa kuna watu huwa naona wanakula kozi na karanga sijajua huwa inakuaje japo.
Posho sijajua lkn sio kama ya jktPosho yake ikoje huko ?