SaulGoodman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 418
- 906
Mzee we ulikua mwaka gani na Kombania ipi?Afande veno.. ruti embakasi, magagula fatiki ya kuzima moto. 😆😆
Kwata lina pigwa usiku huku iveco imewashwa taa full
Prv Milito na somo la Uvumilivu
Prv Asa Mwite huyo Mungu wako aje akuokoeee😂😂😂😂😂
Prv pilato mzee wa kupima joto la ardhii
Prv manyama anakwambia iyo rutmach mtatembea mpaka pumbu zipasuke😅😅😅
Alafu kulikuwa na prv 1 iv anakwambia kuruti mnataka pima uzito wa pumbu zangu mjue zina gram ngapi tuonane baadae..
Mlale kikosi kazi big upcomrd..