Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Afande veno.. ruti embakasi, magagula fatiki ya kuzima moto. 😆😆
Kwata lina pigwa usiku huku iveco imewashwa taa full

Prv Milito na somo la Uvumilivu
Prv Asa Mwite huyo Mungu wako aje akuokoeee😂😂😂😂😂
Prv pilato mzee wa kupima joto la ardhii
Prv manyama anakwambia iyo rutmach mtatembea mpaka pumbu zipasuke😅😅😅
Alafu kulikuwa na prv 1 iv anakwambia kuruti mnataka pima uzito wa pumbu zangu mjue zina gram ngapi tuonane baadae..
Mlale kikosi kazi big upcomrd..
Mzee we ulikua mwaka gani na Kombania ipi?
 
Tulikuwa tunabishana na wadau hapa kwamba mjeda asiye na cheo anaweza msalimia koplo wa police au nyota moja polisi, vile vile kwa vyombo vingine magereza, hii imekaaje wadau
Tutajadili baadae hizi mambo sahv tusikilizie kwanza lonja mkuu wangu ama nini
 
Kuna kiwanda pale temeke kile cha nondo, yaani kwa siku elfu 15 lakini mziki wake sio poa...nilikimbia kuogopa kutoka unfit maana mijamaaa ina sura ngumu wengine wametoboka, siku ya kwanza kwenda wakanipangia chini kule wanakoyeyusha kwenye uji uji, siku iliyofuata hawakuniona mpaka leo
Hata mie nisingerudi ndugu yangu
 
Back
Top Bottom