Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

No mkuu Msata walianza December 2021 wakamaliza June 2022, wa Oljoro walianza March 2022 wakamaliza September 2022 so ni miezi sita sita, huwa hawaanzi wala kumaliza pamoja
Duuh kumbe basi jamaangu aliemaliza Msata alipata kitonga kikubwa sana maana nakumbuka kama miez ya mwanzoni hivi ndo alienda na mwingine yeye alikuwa Oljolo
 
Haujanielewa mkuu yani miaka mingi course ya awali ya RTS huwa ni miezi minne, Ila mwaka jana kwa mara ya kwanza wakafanya miezi sita, sasa sijui wataendelea hivyo miaka yote au ilikuwa ni kwa mwaka jana tu

Ni kama tu course ya officer cadet kule TMA Monduli, kuna intake huwa zinapiga mwaka mmoja, na kuna intake huwa zinapiga miezi tisa

Wanasema jeshi halikaririki muda wa course huwa unategemeana na uhitaji pamoja na bajeti
Mdada upo kitengo nini?
 
Back
Top Bottom