methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Hakika maana kitaa huku mibanga haieleweki asee jw kuingia pamotoMungu atusaidie sote kupata Yale tunayoyaomba... Tusikate tamaa!!;
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika maana kitaa huku mibanga haieleweki asee jw kuingia pamotoMungu atusaidie sote kupata Yale tunayoyaomba... Tusikate tamaa!!;
Lini raisi katunuku nyota moja kwa polisi??? Polisi nyota moja anakua bado gazetted officer na sio commissioned officer kama luteni usu wa jeshi.Kweli, private wa jeshi anapaswa kumsalimia mwenye nyota polis, maana hiyo nyota huwa wanatunukiwa na rais kwahiyo lazima aheshimiwe
Kuna mwana alilala kwenye pindi akamwagiwa maji alafu PTE akafanya kama anakwangua uso na mividole yake Sijui ndo wanasema kupapasa hiyo..Hahaha kk acha tu daah na ukisinzia kutokana na kula maharage kila siku huku vitu vingine vinapumua mzee mambo yanatoka hadharani
Siku hizi wanakuwa wanavalishwa na raisi nafikiri rais hayati mzee Magufuli aliwahi kuwakamisheni polisi kipindi flani hv.Lini raisi katunuku nyota moja kwa polisi??? Polisi nyota moja anakua bado gazetted officer na sio commissioned officer kama luteni usu wa jeshi.
Hahahahaha nomaKuna mwana alilala kwenye pindi akamwagiwa maji alafu PTE akafanya kama anakwangua uso na mividole yake Sijui ndo wanasema kupapasa hiyo..
Njoo nikupe connection chap usije zeekea mtaaniSina namna kaka , kazi mtaani hakuna
Hhahahahha haya sasa team IDS mko wapi mjiaane ..... oy wanangu wa UDBS mko wapi??? 😀😀😀Alikuwa kule IDS na mara nyingi kawa Seminar Leader wengi tumemjulia huko
Nyie bishaneni tuuu wenzenu wanapiga maishaSiku hizi wanakuwa wanavalishwa na raisi nafikiri rais hayati mzee Magufuli aliwahi kuwakamisheni polisi kipindi flani hv.
Hapana mkuu mimi raia kama wewe tuMdada upo kitengo nini?
Achana na hiyo miez mkuu haikusaidi kituu we angalia maisha yako. Hayo ni yao yako yako wapi. Acha kupenda unachokichukiaK
KOzi ni miezi 4 +miezi 2 ya uzalendo =6
Hamna kituuuuBinafsi Mimi nakutamani sana polisi, nina ujuzi wa kuunda mifumo ya tehama nikipata tengo huko nafanya kwa moyo wangu wote
Kwa hzo data ulizozitoa kusema wewe mi raia wa kawaida mimi binafsi yangu nakataa[emoji23]Hapana mkuu mimi raia kama wewe tu
Private anapata wapi jeuri ya kumkaushia NCO?Tulikuwa tunabishana na wadau hapa kwamba mjeda asiye na cheo anaweza msalimia koplo wa police au nyota moja polisi, vile vile kwa vyombo vingine magereza, hii imekaaje wadau
acha tuu mkuu, sijui frustratios za maisha ,sinaga usingiz kabisaMwaka huu wetu wanangu