Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hahaha kk acha tu daah na ukisinzia kutokana na kula maharage kila siku huku vitu vingine vinapumua mzee mambo yanatoka hadharani
Kuna mwana alilala kwenye pindi akamwagiwa maji alafu PTE akafanya kama anakwangua uso na mividole yake Sijui ndo wanasema kupapasa hiyo..
 
Lini raisi katunuku nyota moja kwa polisi??? Polisi nyota moja anakua bado gazetted officer na sio commissioned officer kama luteni usu wa jeshi.
Siku hizi wanakuwa wanavalishwa na raisi nafikiri rais hayati mzee Magufuli aliwahi kuwakamisheni polisi kipindi flani hv.
 
Back
Top Bottom