NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Hawa nyuma yao ilikuwa nguvu kubwa sana.Kuna wana walichomoka course PT kwend kuliunga oljoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa nyuma yao ilikuwa nguvu kubwa sana.Kuna wana walichomoka course PT kwend kuliunga oljoro
Hahahah mnapiga majungu 😀😀Uzi mzuri sana
Hahahah mnapiga majungu 😀😀Uzi mzuri sana
Sahihi kabisa unachokisema umekimbusha mbali mno tuliangusha miti si mchezo mzee..Wapo ndio, mujibu wapo wengi tu,walujitolea pia wapo nina rafik angu naye ameomba tena uhamiaji na PT ni mererani tena wakujitolea wenzie wengi washakula ajira y
Jina langu lilitokea sehemu mbili wakati wa kwenda kwa mujibu. Mlale na Kanembwa. Nilivyosikia kuna mashamba huko nikakimbilia kigoma. Kipindi kile hakukuwa na mashamba Kanembwa. Sisi ndio tulikuw na kaz ya kuandaa sehemu za mashamba kuangusha miti. Nadhan intake zilizofata ndio wakaanza kulima. Ila mziki wa kanembwa nao sio wa kitoto
Kozi wameongeza muda siku hizi ni miezi 6 na si mi4 tena labda Kama watabadili Tena.JW siku 120 unauma meno unaanza kula maisha
Waliingia kwa kupishana kidogo baada ya msata vijana kuwa wengi wengine wakapunguziwa oljoro wakati oljoro wanasubiri kuongeza watu idadi yao itimie kule msata wakaanza kozi wale oljoro walikuja kuanza kozi mwezi wa 3 au 4 hivi jwa hyo wote walifanya kozi kwa miezi 6 isipokuwa muda wa kuanza kozi ndo ulipishana.Ila nilishangaa waliingia pamoja Msata na Oljolo lakini Msata walimaliza mapema ila wale wa Oljoro tarehe 30/10
Hapana mzee miezi sita yote ni ya kozi maana oljoro wako walikwenda toka December ambapo walishakaa uzalendo msata toka mwezi wa 10 ndipo wengine wakakatwa bogi kwenda oljoro napo wakakaa uzalendo paka kozi kuja kufunguliwa mwezi wa 3 na wakamaliza mwezi wa 9 mwishoni.Sita si na uzalendo
TMA sio lelemama aiseee.... watu wanatimuliwa kimya kimyaSIjajua ila jamaa alinificha nahisi alizingua suala la nidhamu sana wapo strictly sana...
Mkuu umenifanya nicheke sana. Nimekumbuka wakati tunapiga darasa la silaha, watu tulikuwa tunapigwa mabanzi, fimbo na kumwagiwa maji ukisinzia. Nilijitahidi sana kujikaza lakini usingizi ulinizidi nikawa nasinzia tu. Unapigwa banzi la maana, ukishtuka humalizi hata dakika unasinzia tenaMi nilipita pale kwata walikaza kama kawa, siwez sahau Kuna Babu mmoja anavuta sigara atar ni staff sajent anaitwa "Babu Venue" mzee alituzungusha round 25 za mwendo wa pole, Kila saa tuna maliza unaskia "Samahani afande warudie tena". Mkifanya vizur anafurah anataka mrudie tena aone mkifanya vibaya mtakula kazi na mtarudia Yani ile siku tulitoka paredi kama tumeganda mpaka ma private wakawa wanasepa kula Tano alafu wanarudi mzee yupo na sisi. 😂😂😂 Kesho yake asubuhi akatuamkia tena mzee akatushtua kwata kidogo tukarudisha silaha Amala tukanywa chai tumerudi akatupiga ruti ndefu ile tumefika😂😂😂 tukawekwa kivulini Ili tufundishwe silaha alafu ma private wamejaa kibao, oya😂😂😂😂 tulikua tuna kula mabanzi vibaya mno sababu watu tunasinzia pale kwenye vivuli vya miti Kuna upepo balaa afu watu tumechoka mnoo. Yani jirani yako anapigwa banzi pembeni yako unashtuka 😂😂😂 baada ya dk 5 mnasinzia tena, daah
Kweli, private wa jeshi anapaswa kumsalimia mwenye nyota polis, maana hiyo nyota huwa wanatunukiwa na rais kwahiyo lazima aheshimiweTulikuwa tunabishana na wadau hapa kwamba mjeda asiye na cheo anaweza msalimia koplo wa police au nyota moja polisi, vile vile kwa vyombo vingine magereza, hii imekaaje wadau
Mkuuu mabio nayaweza asee nikaona cha kufia nini nitoke unfitHahaaaaaa ,noma sana na safety zero kwenye hivi viwanda vya bongo ,unaweza toka marehemu mule , kamanda ukala mabio au sio ?
Hahahahhaha mwanangu nimejikuta nacheka, yaan kule usingizi hauishagi hata kidogo, mwamba mmoja kipindi cha mapumziko ya kwata ile tano, tukaenda kulala juani uwanjani, filimbi inapigwa jamaa anakoroma peke yake, maprivate wakaenda kumpiga maji ndoo ya kwanza mwamba bdo kalalaMkuu umenifanya nicheke sana. Nimekumbuka wakati tunapiga darasa la silaha, watu tulikuwa tunapigwa mabanzi, fimbo na kumwagiwa maji ukisinzia. Nilijitahidi sana kujikaza lakini usingizi ulinizidi nikawa nasinzia tu. Unapigwa banzi la maana, ukishtuka humalizi hata dakika unasinzia tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aloo usingizi usikie tu.Hahahahhaha mwanangu nimejikuta nacheka, yaan kule usingizi hauishagi hata kidogo, mwamba mmoja kipindi cha mapumziko ya kwata ile tano, tukaenda kulala juani uwanjani, filimbi inapigwa jamaa anakoroma peke yake, maprivate wakaenda kumpiga maji ndoo ya kwanza mwamba bdo kalala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aloo usingizi usikie tu.
Hahaha kk acha tu daah na ukisinzia kutokana na kula maharage kila siku huku vitu vingine vinapumua mzee mambo yanatoka hadharani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aloo usingizi usikie tu.
Kama muda umeongezwa basi drill ztakua zmepunguzwa kiasiDuuuh siku hz jw kozi miez 6 kumbe, , , alooo mbona kipengere ukitoka huko kama unavuta bangi
Sina hakika lkn mkuuKama muda umeongezwa basi drill ztakua zmepunguzwa kiasi