Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kwa wale w form 4 na form six Dsm kuna mtu yeyote kapgiwa smu ama kuitwa kwenye usaili?.
Kwa form 4 na 6 mmeambiwa taarifa mnapata kwa maRPC wa mkoa..usaili ndio utafanyika huko na sio makao makuu
 
Watu leo wameulizwa kwenye usaili (written),wataje list ya mawaziri wakuu toka uhuru hadi sasa [emoji4][emoji4]
Usaili wa form4$6
Bwana weweee..

Kumbe muhimu kumfahamu mtendaji wa shughuli za kila siku za serikali..
 
Mkuu tupe Lonja mkuu
Vijana mlioitwa kwenye usaili Karibuni katika ujenzi na ulinzi wa Taifa.

Ushauri mkipata nafasi jiendelezeni kielimu,fuateni sheria,acheni tamaa sasa hivi ufukuzwaji wa kazi katika vyombo vya ulinzi na usalama ni kugusa tu,wanatemwa sana.
 
Wazee wa kitengo fanya fujo uone

Tupeni lonja mapot
Leteni Lonja lonja
Vijana mlioitwa kwenye usaili Karibuni katika ujenzi na ulinzi wa Taifa.

Ushauri mkipata nafasi jiendelezeni kielimu,fuateni sheria,acheni tamaa sasa hivi ufukuzwaji wa kazi katika vyombo vya ulinzi na usalama ni kugusa tu,wanatemwa sana.
Asante Sana Mkuu.Tupe Lonja Nyingine za huko Kilwa Road kuanzia jumatatu.
 
Leteni Lonja lonja

Asante Sana Mkuu.Tupe Lonja Nyingine za huko Kilwa Road kuanzia jumatatu.
Vijana vazi la Askari la kiraia ni tshirt/Jersey/traki msiende kwenye usaili mkiwa mmechomekea suruali ya kitambaa na shati na moka hili vazi waachieni raia wa saili za kiraia.

Utarolishwa au kukimbiza upepo na suti yako uone jeshi gumu.

Jeshi siyo kiwanda cha NOVIDA au kampuni ya Vodacom.
 
Zile nyimbo zenu za TPDF za kudiss PT eti wanapiga push ups kwenye godoro mziache kule mtahenyeshwa mpaka mtaita maji mmaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…