Kishnajr
JF-Expert Member
- Jun 15, 2022
- 407
- 392
Hahahahahaa[emoji1787][emoji1787] nlichogundua vikosini humu private ndio wanaaa snAfande veno.. ruti embakasi, magagula fatiki ya kuzima moto. [emoji38][emoji38]
Kwata lina pigwa usiku huku iveco imewashwa taa full
Prv Milito na somo la Uvumilivu
Prv Asa Mwite huyo Mungu wako aje akuokoeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Prv pilato mzee wa kupima joto la ardhii
Prv manyama anakwambia iyo rutmach mtatembea mpaka pumbu zipasuke[emoji28][emoji28][emoji28]
Alafu kulikuwa na prv 1 iv anakwambia kuruti mnataka pima uzito wa pumbu zangu mjue zina gram ngapi tuonane baadae..
Mlale kikosi kazi big upcomrd..