Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Tutegemee kukuona ukiapa?Haha sijatuma mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutegemee kukuona ukiapa?Haha sijatuma mkuu
Mkuu yaani usu wa JWTZ umringanishe na ASP wa PT? Usu lazima apige saluti.Alafu haya ya nani mkubwa sijui ni mambo yanakuzwa sana na Askari wadogo wadogo na stori za vijiweni ila wenyewe wakikutana wala hawana kwere wanapeana heshima zao.Kiongozi kiuhalisia nyota moja ya JWTZ si sawa na nyota moja ya Polisi na wenzao wote wa mambo ya ndani, kule Monduli maluteni usu kila mwaka huwa wanaapishwa na President tu, na hajawahi tuma mwakilishi 'kwa niaba yake' ni lazima aende yeye mwenyewe
JWTZ hakuna gazetted officers wote kuanzia Luteni usu hadi Generali huitwa commissioned officers
Anyway labda mapolisi wa humu ndani watuambie hapo kwenye masuala ya protocol, kwamba kwa mfano Luteni usu (nyota moja wa jwtz) na ASP (nyota tatu wa polisi) wakikutana, nani ataanza kudondosha Salute kwa mwenzake
Wapo wanaosema hayo ni majeshi tofauti yenye mifumo tofauti, hivyo haina haja ya kupigiana salute, labda wao wenyewe wa mambo ya ndani ndio vyeo vyao viko sawa ila siyo kwa JWTZ
Lakini as far as i know ni kuwa JWTZ ndio jeshi senior na superior kiprotocol, ndio maana hata kwenye mikutano ya viongozi mfano ikulu au bungeni mpangilio wao wa kukaa mara nyingi huwa anaanza CDF, IGP, DGIS, CGP, CGF then CGI, halafu ndio wanafuata hao wa PCCB na DCEA
Hata kipindi cha Magufuli alitaka aanzishe system ya kuteua general officers wa JWTZ kuwa wakuu wa vyombo vya usalama vya mambo ya ndani, mfano alimteua Suleiman Mzee kuwa CGP Magereza ambaye alikuwa ni Major General cheo cha tatu kutoka juu, na tena hiyo ilihesabika ni kama demotion
Wakati kwa magereza cheo cha tatu kutoka juu ni DCP, so maana yake ni kwamba, Major General wa JWTZ na DCP wa Magereza kiprotocol hawako sawa MG ni mkubwa
Umesema Raisi hawezi???😂😂😂..... Raisi ambae katiba Ina mpaa uwezo wa kutengua uteuzi wa waziri mkuu bila kutoa sababu yeyote??? Ndo unasema hawezi ??? Ndugu una vituko sanaNdio hilo hawezi, sababu anajua wanajeshi wanaweza kuongoza polisi, uhamiaji, magereza na zimamoto, ila hao hawawezi kuongoza jeshi mkuu
Usijali kiongozikwa mtu mmoja tu lakin jina lako likionekana pdf ya PT ni pm!
Dah nilijua hv siku moja baada ya kumuona makamanda wakubwa kabisa wakimpigia saluti miss[emoji23] ...(hii NI code)Tunahiitaji kazi kuyamudu maisha yetu na familia zetu hizo habari za kupigiwa salute ni mbwembwe na sifa tu kikubwa tuingie chomboni salute hata wakuu wa wilaya na mikoa na wanasiasa wanapigiwa salute na hao tunaowaona wakubwa .Kwanza ugali mengine baadae
Ntakuchek mkuukwa mtu mmoja tu lakin jina lako likionekana pdf ya PT ni pm!
Dada jokate tu anakula salute,kitu cha kuitwa salute siwazii Kabisa tutafute pesa kwanza haya mambo wala hutokuja kuona ya maanaDah nilijua hv siku moja baada ya kumuona makamanda wakubwa kabisa wakimpigia saluti miss[emoji23] ...(hii NI code)
Bhas nipee mbanga kaka niingie mtipidiiiiiMimi police ipo kwenye damu siwafichi sibabaiki na mtipidi.
Mwamba nakuombea sana upate Kazi awamu hii huwa nawakubali sana wapambanaji kama nyinyi kama yule kunguru wa manzese mwamba alichangamsha sana kula jukwaa la magereza na nilivyosikia kapata nilifurahi sana na alikomaa kama wewe hivihivi sahv anakaza tu!!!Tunahiitaji kazi kuyamudu maisha yetu na familia zetu hizo habari za kupigiwa salute ni mbwembwe na sifa tu kikubwa tuingie chomboni salute hata wakuu wa wilaya na mikoa na wanasiasa wanapigiwa salute na hao tunaowaona wakubwa .Kwanza ugali mengine baadae
Afande kuwa wazi basi!!kwa mtu mmoja tu lakin jina lako likionekana pdf ya PT ni pm!
😂😂😂 Unalalamika sana, ebu tuelewane Raisi hawezi kwasababu Hana mamlaka iyo au hawezi kwasababu sio hekima kufanya ivyo??? Nikuelewe kwanza. Maana hata wewe naamini huwezi kutembea uchi mtaani lakini sio kwamba huwezi huna uwezo ni huwezi kwasababu sio hekima. Sasa je Raisi hawezi kufanya ivyo kwa sababu Hana uwezo huo au sio hekima???Rais atagusa kote ila hawezi kucheza na jeshi narudia HAWEZI hata dunia ipinduke juu chini mkuu
Siku akithibutu kufanya hivyo Tanzania kutatokea military coup kama baadhi ya nchi za wenzetu za kiafrika zilivyofanya
Yani mkuu hapa tutabishana tu kishabiki, lakini sote tunajua rais hawezi kuteua viongozi wa majeshi mengine waongoze JWTZ, hata siku moja
Ni either waongozane wenyewe au waongoze wengine ila wao hawaongozwi katu abadan
Na hapa naongelea kuongozwa na viongozi wa majeshi mengine siyo kuongozwa na raia, maana wizara ya ulinzi tu inaongozwa na raia japo hao nao wengi wao huwa ni usalama wa taifa, na uongozi wao huwa ni wa kisiasa tu na si military issues
Kwanini ?Hamna kituuuu