Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

😂😂😂 Unalalamika sana, ebu tuelewane Raisi hawezi kwasababu Hana mamlaka iyo au hawezi kwasababu sio hekima kufanya ivyo??? Nikuelewe kwanza. Maana hata wewe naamini huwezi kutembea uchi mtaani lakini sio kwamba huwezi huna uwezo ni huwezi kwasababu sio hekima. Sasa je Raisi hawezi kufanya ivyo kwa sababu Hana uwezo huo au sio hekima???
Alafu kwanza Magufuli alimteua Meja Jenerali Mzee kuongoza magereza kama adhabu kwa magereza sababu alisema magereza uozo ulikua mwingi which means under normal circumstances asingefanya ivyo.
 
Mwamba nakuombea sana upate Kazi awamu hii huwa nawakubali sana wapambanaji kama nyinyi kama yule kunguru wa manzese mwamba alichangamsha sana kula jukwaa la magereza na nilivyosikia kapata nilifurahi sana na alikomaa kama wewe hivihivi sahv anakaza tu!!!


Kaka lazima uende awamu yako hii
Tupo pamoja mkuu,mungu atabless TU Safari hii
 
Am Happy to hear it
Mwamba nakuombea sana upate Kazi awamu hii huwa nawakubali sana wapambanaji kama nyinyi kama yule kunguru wa manzese mwamba alichangamsha sana kula jukwaa la magereza na nilivyosikia kapata nilifurahi sana na alikomaa kama wewe hivihivi sahv anakaza tu!!!


Kaka lazima uende awamu yako hii
 
Hilo mbona nimeshakujibu kwamba rais hawezi kufanya hivyo sababu hata yeye anajua fika kuwa JWTZ wanaweza kuongoza PT, UT, MT na ZT na si kinyume chake mkuu
😂😂😂Eti Raisi hawezi, Raisi hawezi??? Raisi aliye mteua Bashiru kua katibu mkuu kiongozi, mtu ambaye hajawahi kua mtumishi wa umma katika serikali alafu Moja kwa Moja akawa katibu mkuu kiongozi 😂😂, ivi unaposikia Raisi wa Tanzania ni Mungu mtu unadhani ni utani???
 
Uzi wetu mapolisi na uhamiaji,wanajeshi wamevamia humu wamekuwa wajuaji Sana
Ila ndo vizuri mkuu ata na wale tusiojua vitu tupate mwanga alaf pia me naona inapendeza kuwepo mijadala mbalimbali as long as inahusu vyombo vya Usalama vya nchi yetu, Sasa we ulitaka tukae kila siku kuulizia tu lonja vp?, Pdf lini?, CCp kuna iki na iki?, Vp kuripot unatakiwa nini na nini?. Aah asee uzi si utakuw haunogi.
 
Ndugu unafurahisha ujue[emoji23][emoji23] kwani let's be honest Major General mzee aliyepelekwa kua kamishina generali wa magereza alikua akitamkwa kwa cheo gani kwanza??? Alikua akitamkwa "Kamishina Jenerali wa Magereza Meja Jenerali Suleimani Mzee". Kumbuka mtu hutambulishwa kwa cheo kikubwa alichofikia mfano mzee mwinyi alishawahi kua makamu wa Raisi na Raisi pia lakini anatambulishwa kama Raisi mstaafu sio makamu wa Raisi mstaafu, hata kwenye taaluma unaweza ukawa ni Engineer pia ukawa Dr kwa maana ya PHD Holder pia ukawa Professor, lakini title kubwa ni Professor na hivyo tutakutambulisha kama Professor. Meja Jenerali Mzee kuwekwa kua Kamishina Jenerali wa Magereza hiyo promotion sio demotion. Inapokua Demotion mara nyingi wana staafu mfano mzuri ni baada ya Raisi Samia kutengua Uteuzi wa Chief of Staff Luten Jenerali Yakubu Muhamedi akapelekwa uturuki ukoo kua Balozi na mwaka Jana aka staafu na CDF mabeyo. Soma kwa namba navyotambulishwa Meja Jenerali Mzee kwenye hiyo picha, huwez mtambulisha mtu kwa cheo kidogo alafu ufuate cheo kikubwa neverView attachment 2477479
Unamuelewesha mtu ambaye 'anaamini' na sio anayejua!!
 
UT sifahamu ila PT hakuna mtihan mmoja kwa watu wote. Kila mtu atakuw evaluated katika kada yake unless waje na utaratibu mpya labda.
Maafande watoe ,uzoefu wao kwa pande zote wa UT na PT ili kujiandaa kisaikolojia na kufanya maandalizi yanayohitajika kikamilifu
 
UT sifahamu ila PT hakuna mtihan mmoja kwa watu wote. Kila mtu atakuw evaluated katika kada yake unless waje na utaratibu mpya labda.
Asante mzee baba angalau hapo mtu anapata mwanga
 
Hv wakuu kwa wale waliwahi kuomba UT na MT hili swala la leaving certificate limekaaje asee kama hauna, au kuna waliowahi kuitwa na leaving hawakuwa nazo
 
Back
Top Bottom