Ndugu unafurahisha ujue[emoji23][emoji23] kwani let's be honest Major General mzee aliyepelekwa kua kamishina generali wa magereza alikua akitamkwa kwa cheo gani kwanza??? Alikua akitamkwa "Kamishina Jenerali wa Magereza Meja Jenerali Suleimani Mzee". Kumbuka mtu hutambulishwa kwa cheo kikubwa alichofikia mfano mzee mwinyi alishawahi kua makamu wa Raisi na Raisi pia lakini anatambulishwa kama Raisi mstaafu sio makamu wa Raisi mstaafu, hata kwenye taaluma unaweza ukawa ni Engineer pia ukawa Dr kwa maana ya PHD Holder pia ukawa Professor, lakini title kubwa ni Professor na hivyo tutakutambulisha kama Professor. Meja Jenerali Mzee kuwekwa kua Kamishina Jenerali wa Magereza hiyo promotion sio demotion. Inapokua Demotion mara nyingi wana staafu mfano mzuri ni baada ya Raisi Samia kutengua Uteuzi wa Chief of Staff Luten Jenerali Yakubu Muhamedi akapelekwa uturuki ukoo kua Balozi na mwaka Jana aka staafu na CDF mabeyo. Soma kwa namba navyotambulishwa Meja Jenerali Mzee kwenye hiyo picha, huwez mtambulisha mtu kwa cheo kidogo alafu ufuate cheo kikubwa never
View attachment 2477479