Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kiongozi kiuhalisia nyota moja ya JWTZ si sawa na nyota moja ya Polisi na wenzao wote wa mambo ya ndani, kule Monduli maluteni usu kila mwaka huwa wanaapishwa na President tu, na hajawahi tuma mwakilishi 'kwa niaba yake' ni lazima aende yeye mwenyewe

JWTZ hakuna gazetted officers wote kuanzia Luteni usu hadi Generali huitwa commissioned officers

Anyway labda mapolisi wa humu ndani watuambie hapo kwenye masuala ya protocol, kwamba kwa mfano Luteni usu (nyota moja wa jwtz) na ASP (nyota tatu wa polisi) wakikutana, nani ataanza kudondosha Salute kwa mwenzake

Wapo wanaosema hayo ni majeshi tofauti yenye mifumo tofauti, hivyo haina haja ya kupigiana salute, labda wao wenyewe wa mambo ya ndani ndio vyeo vyao viko sawa ila siyo kwa JWTZ

Lakini as far as i know ni kuwa JWTZ ndio jeshi senior na superior kiprotocol, ndio maana hata kwenye mikutano ya viongozi mfano ikulu au bungeni mpangilio wao wa kukaa mara nyingi huwa anaanza CDF, IGP, DGIS, CGP, CGF then CGI, halafu ndio wanafuata hao wa PCCB na DCEA

Hata kipindi cha Magufuli alitaka aanzishe system ya kuteua general officers wa JWTZ kuwa wakuu wa vyombo vya usalama vya mambo ya ndani, mfano alimteua Suleiman Mzee kuwa CGP Magereza ambaye alikuwa ni Major General cheo cha tatu kutoka juu, na tena hiyo ilihesabika ni kama demotion

Wakati kwa magereza cheo cha tatu kutoka juu ni DCP, so maana yake ni kwamba, Major General wa JWTZ na DCP wa Magereza kiprotocol hawako sawa MG ni mkubwa
Mkuu yaani usu wa JWTZ umringanishe na ASP wa PT? Usu lazima apige saluti.Alafu haya ya nani mkubwa sijui ni mambo yanakuzwa sana na Askari wadogo wadogo na stori za vijiweni ila wenyewe wakikutana wala hawana kwere wanapeana heshima zao.
 
Ndio hilo hawezi, sababu anajua wanajeshi wanaweza kuongoza polisi, uhamiaji, magereza na zimamoto, ila hao hawawezi kuongoza jeshi mkuu
Umesema Raisi hawezi???😂😂😂..... Raisi ambae katiba Ina mpaa uwezo wa kutengua uteuzi wa waziri mkuu bila kutoa sababu yeyote??? Ndo unasema hawezi ??? Ndugu una vituko sana
 
Tunahiitaji kazi kuyamudu maisha yetu na familia zetu hizo habari za kupigiwa salute ni mbwembwe na sifa tu kikubwa tuingie chomboni salute hata wakuu wa wilaya na mikoa na wanasiasa wanapigiwa salute na hao tunaowaona wakubwa .Kwanza ugali mengine baadae
Dah nilijua hv siku moja baada ya kumuona makamanda wakubwa kabisa wakimpigia saluti miss[emoji23] ...(hii NI code)
 
Ndugu unafurahisha ujue😂😂 kwani let's be honest Major General mzee aliyepelekwa kua kamishina generali wa magereza alikua akitamkwa kwa cheo gani kwanza??? Alikua akitamkwa "Kamishina Jenerali wa Magereza Meja Jenerali Suleimani Mzee". Kumbuka mtu hutambulishwa kwa cheo kikubwa alichofikia mfano mzee mwinyi alishawahi kua makamu wa Raisi na Raisi pia lakini anatambulishwa kama Raisi mstaafu sio makamu wa Raisi mstaafu, hata kwenye taaluma unaweza ukawa ni Engineer pia ukawa Dr kwa maana ya PHD Holder pia ukawa Professor, lakini title kubwa ni Professor na hivyo tutakutambulisha kama Professor. Meja Jenerali Mzee kuwekwa kua Kamishina Jenerali wa Magereza hiyo promotion sio demotion. Inapokua Demotion mara nyingi wana staafu mfano mzuri ni baada ya Raisi Samia kutengua Uteuzi wa Chief of Staff Luten Jenerali Yakubu Muhamedi akapelekwa uturuki ukoo kua Balozi na mwaka Jana aka staafu na CDF mabeyo. Soma kwa namba navyotambulishwa Meja Jenerali Mzee kwenye hiyo picha, huwez mtambulisha mtu kwa cheo kidogo alafu ufuate cheo kikubwa never
Screenshot_20230111-160902.png
 
Tunahiitaji kazi kuyamudu maisha yetu na familia zetu hizo habari za kupigiwa salute ni mbwembwe na sifa tu kikubwa tuingie chomboni salute hata wakuu wa wilaya na mikoa na wanasiasa wanapigiwa salute na hao tunaowaona wakubwa .Kwanza ugali mengine baadae
Mwamba nakuombea sana upate Kazi awamu hii huwa nawakubali sana wapambanaji kama nyinyi kama yule kunguru wa manzese mwamba alichangamsha sana kula jukwaa la magereza na nilivyosikia kapata nilifurahi sana na alikomaa kama wewe hivihivi sahv anakaza tu!!!


Kaka lazima uende awamu yako hii
 
Rais atagusa kote ila hawezi kucheza na jeshi narudia HAWEZI hata dunia ipinduke juu chini mkuu

Siku akithibutu kufanya hivyo Tanzania kutatokea military coup kama baadhi ya nchi za wenzetu za kiafrika zilivyofanya

Yani mkuu hapa tutabishana tu kishabiki, lakini sote tunajua rais hawezi kuteua viongozi wa majeshi mengine waongoze JWTZ, hata siku moja

Ni either waongozane wenyewe au waongoze wengine ila wao hawaongozwi katu abadan

Na hapa naongelea kuongozwa na viongozi wa majeshi mengine siyo kuongozwa na raia, maana wizara ya ulinzi tu inaongozwa na raia japo hao nao wengi wao huwa ni usalama wa taifa, na uongozi wao huwa ni wa kisiasa tu na si military issues
😂😂😂 Unalalamika sana, ebu tuelewane Raisi hawezi kwasababu Hana mamlaka iyo au hawezi kwasababu sio hekima kufanya ivyo??? Nikuelewe kwanza. Maana hata wewe naamini huwezi kutembea uchi mtaani lakini sio kwamba huwezi huna uwezo ni huwezi kwasababu sio hekima. Sasa je Raisi hawezi kufanya ivyo kwa sababu Hana uwezo huo au sio hekima???
 
Back
Top Bottom