Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hahahahahaa[emoji1787][emoji1787] nlichogundua vikosini humu private ndio wanaaa sn
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu Kaloa baada ya dakik 5 anaanza kusinzia,kuruta mdudu
Oyaaaa sio poa kaka unafikiri ukipigwa nua ndo utakaa macho yaaani ni kama wamekuzidishia usingizia vile huchukui hata dakika 10 unalala alafu upate kisehemu cha kuegemea vizuri
 
Haha eti kamuulize Magufuli daah sawa mkuu

Haya majeshi yana seniority lakini

Yani kumfananisha nyota tatu wa JWTZ na nyota tatu wa PT, UT, MT na ZT tunadanganyana asee
Hahahaaa kuna siku kipindi nipo kuruta wa jkt kuna jamaa akamuuliza swali sir major "kwamfano WO2 wa jeshi akikutana na afisa wa polisi inabidi amsalimie" Yule sir meja akamwambia kama una shida ofisini kwake we msalimie tena kwa unaa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu alizimia na jua baba,kurudi ni mdudu hata alale vpi banzi moja tu au nua ya maan anakurupuka gafla[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahahaha kuruti mdudu wew yeye anapenda kula na kulala tu. Wazee wa kubasti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kubasti ilo neno nimekumbuka D coy yetu ilikuwa ni mafundi wa kubasti 839kj
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kubasti ilo neno nimekumbuka D coy yetu ilikuwa ni mafundi wa kubasti 839kj
MZee wa makuyuni kwa mama Regina Matina.

Ntakipiga ruti ya kwa Raiboni
Au nikupige vyama vingi.
 
Nyota ya polic hata mkuu wa mkoa anakuvua, tofauti na jw.
Kamishen kw jw lzm rais awepo,nimesema lzm awepo,tofaut na police nyota moja anakuvesha hata mwakilishi wake.

Humu jf upo uzi unaeleza hvi v2 wadau walichambua vzr sn. Ukiupitia utaelew vzr.
 
Nashukuru. National Defense Act imesema na kisheria POURT lazima awepo. Naendelea kujifunza mkuu.
 
Unanikosha sn mkuu una maswali konki. Jw ndio jeshi Mama hvo hata kwny ranks zao lzm ziwa na hadhi kuliko majeshi mengn.
 
Samahani mkuu naomba maelezo vizuri wa hiki kiwanda kipo temeke sehemu gan,watu wanaingia saa ngap na kutoka muda gani na je ukiingia mzigoni kuna nguo zao za safety wanakupa unavaa au unavaa nguo zako?Nisaidie kwa hayo kaka
 
Hahahaaa kuna siku kipindi nipo kuruta wa jkt kuna jamaa akamuuliza swali sir major "kwamfano WO2 wa jeshi akikutana na afisa wa polisi inabidi amsalimie" Yule sir meja akamwambia kama una shida ofisini kwake we msalimie tena kwa unaa.
Sahihi nilikuwa na mzee wangu moja fulani Col tulienda sehemu alikuwa na shida alikutana na afisa mkuu wa jeshi fulani cheo Yuko chini kwa Yule mzee nilikuwa nae, Col kwa kuwa alikuwa nashida alimpigia salut jamaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…