Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wakuu maisha nikubeti tu.

Nipeni kazi huko mlipo, kama kuna shule inatafuta mwalimu wa Physics naomba mnisanue, iwe o level au A level.

Yaani hata kama ni quantum physics wewe nishtue.
Kuna shule inahitaji mwalimu wa physics na mathematics
 
Hivyo vyeo polisi si nasikia unaweza sotea zaid ya miaka 10 kufika level ya inspekta tu,..by the way nimepokea simu yao jtatu usaili pale kurasini
Kumbe mkuu upo humu toka kitambo.... Tupe mrejesho, mwaka huu ulifanikiwa??
 
Ubishani kama huu upo vijiwe vya kahawa na bodaboda
Mkuu hata kama anaweza ila Jeshi siyo Bashiru wala Assad, afanye hivyo aone reaction yake, yani hapa suala siyo anaweza au hawezi suala ni akifanya hivyo Matokeo yake nini ajaribu tu
 
Hapana sikwenda kuna mambo yalitokea yalinikwamisha kifamilia. Ila safari hii naweza nikaenda nikikosa UT na JW... PT nimeiweka mwishoni maana nikifikiria course ya mwaka mzima this time sio poa.
Mbna. Mtipidi kozi yao ni miezi sita huku PT ni mwaka,hii ina maana gani masomo na mazoezi kule CCP ni mengi au
 
Mbna. Mtipidi kozi yao ni miezi sita huku PT ni mwaka,hii ina maana gani masomo na mazoezi kule CCP ni mengi au
Darasani sana kule . Yani nimeshaambiwa kama nikienda kule nijiandae kabisa kwenda na mavitabu ya sheria kuna ambayo wanatumia kule. Basically kule ni darasani, kwata, mabio na porini miezi miwili.

JWTZ sidhan kama wana masomo ya darasani mengi na pori nadhan sio miez 2 kama PT.

Course nyingine za kujiendeleza kama Corporal course na Sergeant course miezi 3.

Nyota moja wameipa miezi 9 saiv.
 
Safi Sana,nimekupata
 
UT mwaka Jana mambo yalikuwa fixed unafanya pepa huku washindi/waliopita PDF yao ilikuwa ishaandaliwa asilimia kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…