Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hapana sikwenda kuna mambo yalitokea yalinikwamisha kifamilia. Ila safari hii naweza nikaenda nikikosa UT na JW... PT nimeiweka mwishoni maana nikifikiria course ya mwaka mzima this time sio poa.
Dah...mwaka mzima sio poa...
Mm rafiki yangu kaniambia Kakaa ccp mwaka mzima 2021 Sasa sikuelewa mwaka mzima course au na mambo mengne....

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu swala la leaving certificate limekaaje kuna ambao waliokuwa hawana na wakaitwa kwa usahili au imekaaje wakuu, samahanini lkn
 
Wakuu swala la leaving certificate limekaaje kuna ambao waliokuwa hawana na wakaitwa kwa usahili au imekaaje wakuu, samahanini lkn
Usaili wa mikoani wengi waliitwa usaili mwaka Jana kuhusu makao makuu sijajua kwa kweli utaratibu wao
 
Hahahahaha ukute lena sasa baada ya kuweka gia no 1 unaweka rivasi
Kazi ipo ikiwa hivyo,sema saili nyingi za headquarter wanapigaga written ,UT,MT,ZT nategemea PT itakuwa hivyo hivyo tu ,nina experience na hivi
 
Inategemea kada husika mkuu. Kama ma IT huwez wapa written tu bila kuwapa challenge practically. Huo utaratibu wa written na oral / practical nimeambiwa utaendelea kama kawaida maana usaili hauchukui siku moja.
Apo sawa kuna kada inabidi iwe practical
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…