Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,644
- 2,382
Marafik zangu walifanya usaili waoHawa jamaa nawataman sana . Ulifanya usaili wao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marafik zangu walifanya usaili waoHawa jamaa nawataman sana . Ulifanya usaili wao?
Umewauliza usaili wao ulihusu nini zaidi na paper ilikuw na maswali ya aina gan na idad yake?Marafik zangu walifanya usaili wao
UT, naona PT usaili pia mmoja wa kuandika tu kuhusu kada ndio sijauliza vizuri kuna wanangu ngoja niwachekiKwa jeshi gani mkuu? Kwa PT ni kada husika ndio inakuevaluate ila UT ndio nasikia pepa moja
Dah...mwaka mzima sio poa...Hapana sikwenda kuna mambo yalitokea yalinikwamisha kifamilia. Ila safari hii naweza nikaenda nikikosa UT na JW... PT nimeiweka mwishoni maana nikifikiria course ya mwaka mzima this time sio poa.
PT kwa proffesionals unasailiwa kulingana na kada yako. Utapiga paper la taaluma uliyosomea written na oral/ practicalUT, naona PT usaili pia mmoja wa kuandika tu kuhusu kada ndio sijauliza vizuri kuna wanangu ngoja niwacheki
Ntauliza sahivi siwapatiUmewauliza usaili wao ulihusu nini zaidi na paper ilikuw na maswali ya aina gan na idad yake?
Kwan course ya nyota moja PT n miezi 9 au minne?Yah hapo pia nadhan watakuw wanaajiri pia mara kwa mara...maana ukiwatoa watu kuwapeleka course nyota moja miezi 9 basi lazima wawepo huku chini wa kuwareplace...so ajira zitaendelea kuwepo
Usaili wa mikoani wengi waliitwa usaili mwaka Jana kuhusu makao makuu sijajua kwa kweli utaratibu waoWakuu swala la leaving certificate limekaaje kuna ambao waliokuwa hawana na wakaitwa kwa usahili au imekaaje wakuu, samahanini lkn
Tusubiri tuone pdf itasemaje. Leaving wanaweza rushia tauloWakuu swala la leaving certificate limekaaje kuna ambao waliokuwa hawana na wakaitwa kwa usahili au imekaaje wakuu, samahanini lkn
Wale madereva watapewa ndinga hahahahahPT kwa proffesionals unasailiwa kulingana na kada yako. Utapiga paper la taaluma uliyosomea written na oral/ practical
Sawa sawa mkuu maana leaving kitambo sjui hata kama ninayo ila nahisi sina kabisaUsaili wa mikoani wengi waliitwa usaili mwaka Jana kuhusu makao makuu sijajua kwa kweli utaratibu wao
Wale maticha watapiga pindiPT kwa proffesionals unasailiwa kulingana na kada yako. Utapiga paper la taaluma uliyosomea written na oral/ practical
Sawa sawaTusubiri tuone pdf itasemaje. Leaving wanaweza rushia taulo
Sema nawaza inaweza ikawa written tu kusiwe na oral .PT kwa proffesionals unasailiwa kulingana na kada yako. Utapiga paper la taaluma uliyosomea written na oral/ practical
Hahahahaha ukute lena sasa baada ya kuweka gia no 1 unaweka rivasiWale madereva watapewa ndinga hahahahah
Inategemea kada husika mkuu. Kama ma IT huwez wapa written tu bila kuwapa challenge practically. Huo utaratibu wa written na oral / practical nimeambiwa utaendelea kama kawaida maana usaili hauchukui siku moja.Sema nawaza inaweza ikawa written tu kusiwe na oral .
Kazi ipo ikiwa hivyo,sema saili nyingi za headquarter wanapigaga written ,UT,MT,ZT nategemea PT itakuwa hivyo hivyo tu ,nina experience na hiviHahahahaha ukute lena sasa baada ya kuweka gia no 1 unaweka rivasi
Apo sawa kuna kada inabidi iwe practicalInategemea kada husika mkuu. Kama ma IT huwez wapa written tu bila kuwapa challenge practically. Huo utaratibu wa written na oral / practical nimeambiwa utaendelea kama kawaida maana usaili hauchukui siku moja.
Kwa PT usijiandae kwa written tu. Hawana utaratibu kama majeshi mengine. Kama ni proffesional utapiga written na oral/ practical. Ipo hivyo.Kazi ipo ikiwa hivyo,sema saili nyingi za headquarter wanapigaga written ,UT,MT,ZT nategemea PT itakuwa hivyo hivyo tu ,nina experience na hivi