Wewe jiandae. Ikitokea umeitwa kwenye usaili hayo mengine unayouliza utayaona huko huko.Mara nyingi oral mnaingia mmoja mmoja au watu kma kumi kumi mnasimama mbele ya wakubwa mnatwangwa maswali kadhaa unaeza ulizwa moja, mawili hata mengi π π
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Vijiwe gani hivo wanajadili mambo ya kijeshi kama hivi
Nimeshajiandaa mkuu,last time nakumbuka nilikuwa wa kwanza kuulizwa maswali Tena na mkuu wa mkoa Mh. Adam malima π π πWewe jiandae. Ikitokea umeitwa kwenye usaili hayo mengine unayouliza utayaona huko huko.
Nilipiga usaili Safi sana,hata wenzangu walinipa hope wew uhakika ila,the rest is historyUsaili wa UT wanangu wawili wa fani wote walitoboa bila connection.hawakuamini mmoja alikuwa pia anawazia kwenda au asiende mana connection hana ila ya mungu mengi π
Sasa ,wekeni wazi sasa mnaficha ficha nn kwamba kuna a,b,cNilipiga usaili Safi sana,hata wenzangu walinipa hope wew uhakika ila,the rest is history
Kada ya IT hawakufanya practicals uhamiaji?Usaili wa UT wanangu wawili wa fani wote walitoboa bila connection.hawakuamini mmoja alikuwa pia anawazia kwenda au asiende mana connection hana ila ya mungu mengi π
Hata Quantum Physics[emoji23]Wakuu maisha nikubeti tu.
Nipeni kazi huko mlipo, kama kuna shule inatafuta mwalimu wa Physics naomba mnisanue, iwe o level au A level.
Yaani hata kama ni quantum physics wewe nishtue.
Nimerudi mkuu nilitoka..Mzee ngoja nikuchek
Ndugu Mh Raisi kuweza anaweza vizuri sana, Raisi Museven kamuweka mwanae awe mkuu wa majeshi wa Uganda na Maisha yanaendelea, Mzee Mugabe alikua anamuweka mke wake awe Raisi ajae wa Zimbabwe ni vile tu makamu wake alimgeuka, Magufuli hakuongeza mishahara kwa wafanyakazi wote wa serikali mpaka hao wanajeshi wako na Maisha yakaendelea, Yani kwanza mi nahisi pengine hujawahi sikia viapo vya majeshi wanavyoapa kwaajili ya kumtii na kumlinda Raisi, weee usidanganganywe Raisi wa Tanzania ana maguvu kinyamaaππππ. Marekani yenyewe Maraisi ni ivyoivyo akiingia wa Chama Cha Republican akina Trump anateua watu wake wa usalama na majeshi, akitoka akaja Raisi wa Democrats akina Biden anawatoa wale watu wa usalama wa Trump anaweka wake. πππ Sijui Raisi wa Tanzania hawezi nn kufanya, ana nguvu sanaaMkuu hata kama anaweza ila Jeshi siyo Bashiru wala Assad, afanye hivyo aone reaction yake, yani hapa suala siyo anaweza au hawezi suala ni akifanya hivyo Matokeo yake nini ajaribu tu
Eeh mkuu , leta dili tu.Hata Quantum Physics[emoji23]
Mwana alitemwa alikuwa IT alikuwa na Fr wake mdogo mkubwa mkubwa PT alikula za uso jamaa hakutoboaPT kwa proffesionals unasailiwa kulingana na kada yako. Utapiga paper la taaluma uliyosomea written na oral/ practical
Mbona mnatuogopesha watu wa ITMwana alitemwa alikuwa IT alikuwa na Fr wake mdogo mkubwa mkubwa PT alikula za uso jamaa hakutoboa
Hahahaha wanatoa lonja kwa vijana wanaotarajia kuzama msata intake ya febUzi wetu mapolisi na uhamiaji,wanajeshi wamevamia humu wamekuwa wajuaji Sana