Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kingine haya mausaili ni bahati na connection kuna watu nilifanya nao usaili walijaza majina tu na PT wakatoboa,na was was kma wanasahisha hizi saili zao
 
Usaili wa UT wanangu wawili wa fani wote walitoboa bila connection.hawakuamini mmoja alikuwa pia anawazia kwenda au asiende mana connection hana ila ya mungu mengi 😅
Kada ya IT hawakufanya practicals uhamiaji?
 
Mkuu hata kama anaweza ila Jeshi siyo Bashiru wala Assad, afanye hivyo aone reaction yake, yani hapa suala siyo anaweza au hawezi suala ni akifanya hivyo Matokeo yake nini ajaribu tu
Ndugu Mh Raisi kuweza anaweza vizuri sana, Raisi Museven kamuweka mwanae awe mkuu wa majeshi wa Uganda na Maisha yanaendelea, Mzee Mugabe alikua anamuweka mke wake awe Raisi ajae wa Zimbabwe ni vile tu makamu wake alimgeuka, Magufuli hakuongeza mishahara kwa wafanyakazi wote wa serikali mpaka hao wanajeshi wako na Maisha yakaendelea, Yani kwanza mi nahisi pengine hujawahi sikia viapo vya majeshi wanavyoapa kwaajili ya kumtii na kumlinda Raisi, weee usidanganganywe Raisi wa Tanzania ana maguvu kinyamaa😂😂😂😂. Marekani yenyewe Maraisi ni ivyoivyo akiingia wa Chama Cha Republican akina Trump anateua watu wake wa usalama na majeshi, akitoka akaja Raisi wa Democrats akina Biden anawatoa wale watu wa usalama wa Trump anaweka wake. 😂😂😂 Sijui Raisi wa Tanzania hawezi nn kufanya, ana nguvu sanaa
 
PT kwa proffesionals unasailiwa kulingana na kada yako. Utapiga paper la taaluma uliyosomea written na oral/ practical
Mwana alitemwa alikuwa IT alikuwa na Fr wake mdogo mkubwa mkubwa PT alikula za uso jamaa hakutoboa
 
Back
Top Bottom